Ugonjwa wa macho Dodoma

Ugonjwa wa macho Dodoma

manking

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2014
Posts
1,306
Reaction score
316
Habari zenu wataalam wa afya, nimezunguka mikoa mingi Tanzania nimekuja kugundua wagonjwa wa macho wengi wako mkoa wa Dodoma. Je kuna kitu gani cha kijografia au kibayolojia kinachosabaisha huu ugonjwa hasa Dodoma kuliko sehemu nyingine ya Tanzania?
 
Dodoma kuna matatizo makubwa ya upatikanaji wa maji safi na salama hivyo usafi wa mwili nao unakuwa tatizo kwa watu wengi hasa wa kipato cha chini, mtu anaamka asubuhi hata kunawa uso inashindikana wanaishia kupata ugonjwa wa macho (TRAKOMA)
 
Wageni pia kunauwezekano wa kuupata?
 
Back
Top Bottom