Ikiwa limetobolewa na mdudu dwa yake ni hii
Tafuta mgomba uliokatwa muda mrefu kias cha shina lililobaki kunyauka maganda ya nje.Katikati ya hicho kisiki cha mgomba kuna ganda lenye unyevunyevu/halijakauka kama yale ya nje.Chukua kinyuz kidogo kutoka ktk hilo gamba bichi la katikati kisha kichomeke ktk tundu lilitobolewa na mdudu.Ukiweka utasikia ubarid kisha joto kisha itapoa fanya ivyo mara tatu mdudu mtoboa jino atakufa.Ukifanikiwa kama mimi sambaza tiba kwa wengine.