Baba Wille
JF-Expert Member
- Feb 9, 2014
- 548
- 551
Hapa naugulia jino hadi ufizi umevimba.. Naomba kwa hakika kujua asili/chanzo halisi ya/cha kuugua/kuoza meno na kama kuna dawa ya kutibu (sio kutuliza) au lazima kung'oa.. Nisaidieni wenye utaalamu jamani!!