Wanaitwa mealybugs hao Ni wadudu wanaosumbua sana kwenye papai na hao ndo chanzo Cha Huo weusi unaouona hapo...
Nenda dukani tafuta dawa yeyote inayoua mealybugs..mfano evisect.
Kwa mimi nimesahau vipimo vya kutumia muarobaini ila uwaga unatatua tatizoMkuu akuna dawa ya kienyeji
Watu kama wewe ni viroboto kwenye JamviMbao za mpapai ni nzuri sana, kawauzie pale Keko ili watengenezee furniture
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
Sawa, mzee wa kuhonga IST [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]Watu kama wewe ni viroboto kwenye Jamvi
Kuna jamaa humu aliwahi kuniambia ni katwanga majani ya mwarobaini nikachanyanya na maji nika mwagia kwenye matunda vikaisha vyote!!Kwa mimi nimesahau vipimo vya kutumia muarobaini ila uwaga unatatua tatizo
Yah uwaga unaondoa tatizo Hilo.Kuna jamaa humu aliwahi kuniambia ni katwanga majani ya mwarobaini nikachanyanya na maji nika mwagia kwenye matunda vikaisha vyote!!