Ugonjwa wa mipapai

Ugonjwa wa mipapai

Braibrizy

Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
29
Reaction score
548
Habarini za wakati huu wanaJukwaa

Kwa yeyote mwenye kujua dawa ya hawa wadudu anisaidie iwe ya kienyeji au ya kitaalam ntashukuru..!

IMG_4525.JPG
IMG_4526.JPG
 
Wanaitwa mealybugs hao Ni wadudu wanaosumbua sana kwenye papai na hao ndo chanzo Cha Huo weusi unaouona hapo...

Nenda dukani tafuta dawa yeyote inayoua mealybugs..mfano evisect.
 
Mkuu akuna dawa ya kienyeji
Wanaitwa mealybugs hao Ni wadudu wanaosumbua sana kwenye papai na hao ndo chanzo Cha Huo weusi unaouona hapo...

Nenda dukani tafuta dawa yeyote inayoua mealybugs..mfano evisect.
 
Mbao za mpapai ni nzuri sana, kawauzie pale Keko ili watengenezee furniture
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
Watu kama wewe ni viroboto kwenye Jamvi
 
Watu kama wewe ni viroboto kwenye Jamvi
Sawa, mzee wa kuhonga IST [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Kwa mimi nimesahau vipimo vya kutumia muarobaini ila uwaga unatatua tatizo
Kuna jamaa humu aliwahi kuniambia ni katwanga majani ya mwarobaini nikachanyanya na maji nika mwagia kwenye matunda vikaisha vyote!!
 
Tumia duduall 5ml Lita 20 za maji ukipulizia wanakimbia wote baada ya miezi ndio watarudi
 
Back
Top Bottom