Ugonjwa wa ndigana baridi (anaplasmosis) kwa ng'ombe

Ugonjwa wa ndigana baridi (anaplasmosis) kwa ng'ombe

mchau

Member
Joined
Nov 16, 2024
Posts
89
Reaction score
95
---

🐄📌 ELIMU KWA WAFUGAJI
Ugonjwa wa Anaplasmosis (Ndigana Baridi) kwa Ng’ombe

---

🔍 Utangulizi:
Anaplasmosis ni ugonjwa hatari unaosababishwa na vimelea vinavyoenezwa na kupe. Husababisha homa, upungufu wa damu, udhaifu na unaweza kusababisha vifo ikiwa haitatibiwa kwa wakati.

---

🦠 *Ugonjwa huu huambukizwa kupitia:
  • 🐛 Kupe
  • 💉 Sindano au vifaa vya ncha kali visivyo safi

---

🚨 Dalili Muhimu za Anaplasmosis:
1️⃣ Homa kali
2️⃣ Kukosa hamu ya kula
3️⃣ Mwili kulegea na udhaifu
4️⃣ Manjano ya macho na midomo (jaundice)
5️⃣ Kuvimba tezi za limfu
6️⃣ Kukauka sehemu ya mbele ya pua (dry muzzle)
7️⃣ Kutoa kinyesi kigumu
8️⃣ Kupungua kwa uzalishaji wa maziwa

---

🩺 Matibabu:
Ugonjwa huu unatibiwa vizuri ikiwa utagunduliwa mapema. Tafadhali wasiliana nasi kwa ushauri na huduma bora za mifugo.

---

📞 Mawasiliano:
Dr. Gilliard – Daktari wa Mifugo
📱 0674740836 | 0792263640

---

🌟 Tunatoa huduma za matibabu, chanjo, uhimilishaji na ushauri wa kitaalamu kwa mifugo yako.

---
 
Back
Top Bottom