---
ππ
ELIMU KWA WAFUGAJI
Ugonjwa wa Anaplasmosis (Ndigana Baridi) kwa Ngβombe
---
π
Utangulizi:
Anaplasmosis ni ugonjwa hatari unaosababishwa na vimelea vinavyoenezwa na kupe. Husababisha homa, upungufu wa damu, udhaifu na unaweza kusababisha vifo ikiwa haitatibiwa kwa wakati.
---
π¦ *Ugonjwa huu huambukizwa kupitia:
- π Kupe
- π Sindano au vifaa vya ncha kali visivyo safi
---
π¨
Dalili Muhimu za Anaplasmosis:
1οΈβ£ Homa kali
2οΈβ£ Kukosa hamu ya kula
3οΈβ£ Mwili kulegea na udhaifu
4οΈβ£ Manjano ya macho na midomo (jaundice)
5οΈβ£ Kuvimba tezi za limfu
6οΈβ£ Kukauka sehemu ya mbele ya pua (dry muzzle)
7οΈβ£ Kutoa kinyesi kigumu
8οΈβ£ Kupungua kwa uzalishaji wa maziwa
---
π©Ί
Matibabu:
Ugonjwa huu unatibiwa vizuri ikiwa utagunduliwa mapema. Tafadhali wasiliana nasi kwa ushauri na huduma bora za mifugo.
---
π
Mawasiliano:
Dr. Gilliard β Daktari wa Mifugo
π± 0674740836 | 0792263640
---
π
Tunatoa huduma za matibabu, chanjo, uhimilishaji na ushauri wa kitaalamu kwa mifugo yako.
---