---
📌 Elimu kwa Wafugaji – Ugonjwa wa Ndigana Kali (East Coast Fever – ECF) kwa Ng’ombe
---
🔬 ECF ni nini?
Ni ugonjwa hatari unaowashambulia ng’ombe, husababishwa na kimelea aitwaye Theileria parva, anayeenezwa na kupe aina ya Brown Ear Tick (Rhipicephalus appendiculatus).
---
🚨 Dalili za Ugonjwa wa ECF:
1. Homa kali ya hadi 42°C
2. Kuvimba tezi za limfu (nyuma ya masikio, shingo, mapajani)
3. Kukosa hamu ya kula
4. Kupumua kwa shida
5. Kutoa ute mdomoni na puani
6. Ng’ombe kuzubaa au kuwa na mwonekano wa kuchoka
7. Kudhoofika haraka – huweza kufa ndani ya siku 18 bila matibabu
---
📉 Madhara kwa Mifugo:
---
✅ Kinga na Tahadhari:
---
📌 Ujumbe Muhimu:
Kama mifugo yako inapitia changamoto hii, usihofu – tunatoa huduma za uchunguzi, tiba na ushauri wa kitaalamu.
---
📞 Mawasiliano:
Dr. Gilliard – Daktari wa Mifugo
0674740836
0792263640
🔴Karibu sana kwenye huduma ya chanjo, matibabu, uhimilishaji na ushauri

- Vifo hasa kwa ndama
- Kupungua kwa uzalishaji wa maziwa na nyama
- Hasara kubwa kwa mfugaji
- Kuenea haraka kwa maambukizi kwenye kundi
---
✅ Kinga na Tahadhari:
- Chanjo ya ECF (ECF-ITM) ndiyo njia bora ya kinga
- Dhibiti kupe kwa dawa za kuogesha (acaricides) mara kwa mara