Ugonjwa wa shinikizo la damu

Ugonjwa wa shinikizo la damu

Joined
Jul 21, 2024
Posts
11
Reaction score
14
Huyu anaitwa Francves ndio jina lake halisi ni kuruta mstafu wa jeshi.....mwaka 2006 alikutwa na High Blood Pressure.

So, nini maana ya presha ya juu ya damu acheni ujinga nafundisha masomo afu kushare haaa ! Ila kila siku doctor achia masomo...

Presha ya juu ya damu hii ni mwnendo wa juu ya damu kwenye pipu za damu kwenye mwili wako.

Pressure ya kawaida ya juu inatakiwa isivuke kati ya 120 na ya chini isiende sana kati ya 90 kwa 60 ila kama itavuka 130 hadi 140 hiyo tunaita una pressure ya juu.

Ukiwa una pressure inafika 140 wewe upo hatarini mdaa wowote utapigwa na stroke hivyo upo hai kwa neema ya Mungu sema Amina...

Pressure hii ya juu, ipo hivi kwenye mwili wako una zaidi ya mabomba ya kusambaza damu kama 1,890,827 haya mabomba husaidiwa na misuri yako kusambaza damu hivyo hapa watu wanafichwa niruhusu nikifichue niseme siri ya huu ugonjwa ambayo mnafichwa sana andika NDIO kila mmoja zifike 300 nafichua, tumechoka kuwa watumwa...

#best #millionviews #wanawake #jkt #JkT #semashow #wanaume #medic #herbal #treatment
 
Attachments

  • high_blood_pressure_and_man.jpg
    high_blood_pressure_and_man.jpg
    110.1 KB · Views: 6

Lengo lako ni kupata NDIO 300 na wala haukuwa na lengo la kufichua siri uliyofichwa.
 
Back
Top Bottom