Ugonjwa wa Tangatanga ni ugonjwa gani?.(Wenyeji wa morogoro msaada plz).

Karibu mkuu elezea hiyo dawa hapahapa itawasaidia hata na watu wengine.
Hiyo dawa siifahamu kwa jina ila kwa kuiona ndio naifahamu kwa sababu mimi pia nilishawahi kupatwa na tatzo kama hilo nilienda hospital nyingi na kutumia madawa mengi lakini sikupona. Ila baada ya kwenda kwenye maduka ya dawa za aisili nilipewa hiyo dawa na ilinitibu mpaka leo hii hilo tatizo halijajirudia tena ni miaka 5 sasa. Ndio maana nikakuuliza hilo swali hapo awali ili nipate maelezo yako vizuri mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo maduka yapo maeneo gani mkuu hiyo dawa ni yakupaka au yakunywa?
 
Inaweza kuwa aina mpya ya ngoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ndio JF, hapaharibiki kitu!
 
Watot wa changarawe duuuh!!!
Bora ungechukua totoz za kilimahewa au mikongeni au sangasanga..changarawe daah...
Pol sana mtafte mtaalam wa masual y afya y ngoz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rudi kwa huyo aliyekuambukiza akwambie anatumia dawa gani kupunguza makali ya hiyo tangatanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…