MATTBOY
JF-Expert Member
- Jan 27, 2019
- 262
- 213
Habari zenu wakubwa na wataalam wa afya. Nisaidieni hapa, niko kwenye mahusiano na binti mwenye huu ugonjwa wa thyroid na tayari uvimbe imeonekana shingoni kwa pande zote mbili, sasa nimekuwa nikimuuliza yale anayoambiwa akienda hosipitali lakini amekuwa muongomuongo, ananiambia anaambiwa afanyiwe upasuaji lkn anakataa.
sasa nisaidie kufahamu kama ugonjwa huu mwanaume unaweza kuambukizwa na mwanamke kwa njia ya yeyote ile.
Pili nisaidie kufahamu kama huyu binti anaweza kuzaa baada ya kufanyiwa upasuaji. Na je hata kama atabeba mimba watoto hawatakuwa na hiyo shida au kurithi ugonjwa kutoka kwa mama yao?
Asanteni sana.