Ugonjwa wa thyroid

Ugonjwa wa thyroid

MATTBOY

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2019
Posts
262
Reaction score
213
Habari zenu wakubwa na wataalam wa afya. Nisaidieni hapa, niko kwenye mahusiano na binti mwenye huu ugonjwa wa thyroid na tayari uvimbe imeonekana shingoni kwa pande zote mbili, sasa nimekuwa nikimuuliza yale anayoambiwa akienda hosipitali lakini amekuwa muongomuongo, ananiambia anaambiwa afanyiwe upasuaji lkn anakataa.

sasa nisaidie kufahamu kama ugonjwa huu mwanaume unaweza kuambukizwa na mwanamke kwa njia ya yeyote ile.

Pili nisaidie kufahamu kama huyu binti anaweza kuzaa baada ya kufanyiwa upasuaji. Na je hata kama atabeba mimba watoto hawatakuwa na hiyo shida au kurithi ugonjwa kutoka kwa mama yao?

Asanteni sana.
 
sasa nisaidie kufahamu kama ugonjwa huu mwanaume unaweza kuambukizwa na mwanamke kwa njia ya yeyote ile. Pili nisaidie kufahamu kama huyu binti anaweza kuzaa baada ya kufanyiwa upasuaji. Na je hata kama atabeba mimba watoto hawatakuwa na hiyo shida au kurithi ugonjwa kutoka kwa mama yao? asanteni sana.
Pole sana mkuu kwa hili tatizo la mchumba wako. Machache ninayo yajua kuhusu hilo tatizo.

Ugonjwa hauambukizwi, hivyo ondoa shaka kuhusu wewe wala watoto atakao wazaa yeye mwenyewe.

Pia huo ugonjwa hauna athari kwenye maswala ya uzazi na kubeba mimba. Hivyo hata asipo tibiwa hakuta kua na shida.

Mwisho, goitre ni tatizo ambalo mtu anaweza kuishi nalo, japo kua hua inaongezeka kukua na kuharibu muonekano wa mtu.

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
 
Pole sana mkuu kwa hili tatizo la mchumba wako. Machache ninayo yajua kuhusu hilo tatizo.

Ugonjwa hauambukizwi, hivyo ondoa shaka kuhusu wewe wala watoto atakao wazaa yeye mwenyewe.

Pia huo ugonjwa hauna athari kwenye maswala ya uzazi na kubeba mimba. Hivyo hata asipo tibiwa hakuta kua na shida.

Mwisho, goitre ni tatizo ambalo mtu anaweza kuishi nalo, japo kua hua inaongezeka kukua na kuharibu muonekano wa mtu.

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile ap
Asante sana mkuu
 
Habari zenu wakubwa na wataalam wa afya. Nisaidieni hapa, niko kwenye mahusiano na binti mwenye huu ugonjwa wa thyroid na tayari uvimbe imeonekana shingoni kwa pande zote mbili, sasa nimekuwa nikimuuliza yale anayoambiwa akienda hosipitali lakini amekuwa muongomuongo, ananiambia anaambiwa afanyiwe upasuaji lkn anakataa.

sasa nisaidie kufahamu kama ugonjwa huu mwanaume unaweza kuambukizwa na mwanamke kwa njia ya yeyote ile.

Pili nisaidie kufahamu kama huyu binti anaweza kuzaa baada ya kufanyiwa upasuaji. Na je hata kama atabeba mimba watoto hawatakuwa na hiyo shida au kurithi ugonjwa kutoka kwa mama yao?

Asanteni sana.
Habari,
Huwezi kupata majibu sahihi mpaka ujue fika, tatizo la msingi ni nini?
1: Kuvimba kwa seli za tezi.
2: Uvimbe tofauti ndani ya tezi.
3: Uvimbe huu una athari kwenye kiasi cha homoni zitolewazo na tezi?
 
Back
Top Bottom