Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
inaonyesha uanyo maradhi ya ngiri ya tumbo wewe nenda kapime vizuri. kisha unitafute nipate kukutişbia upate kupona.Wanabodi tafadhali Masada wa daktari au hospitali ya mtaalam wa matatizo ya tumbo kuuma kitovoni. Vipimo vya awali vilionyesha typhoid mwingine dalili za appendix. Kwa Arusha au DAR tafadhali.
Daaah Mimi pia tumbo linauma sana hapa chini ya kitovu kulia na kushoto nilikuwa pia na tatizo la mkojo mchafu walipima Urine analysis wakapata UT I nkapewa dawa nimemaliza ikawa bado inauma nikaenda hospital ya rufaa ya mkoa wapima tena Urine culture hakuna tatizo!Wanabodi tafadhali Masada wa daktari au hospitali ya mtaalam wa matatizo ya tumbo kuuma kitovoni. Vipimo vya awali vilionyesha typhoid mwingine dalili za appendix. Kwa Arusha au DAR tafadhali.