Ugonjwa wa Typhoid unanitesa, nahitaji dawa ya asili

duocore

Member
Joined
Aug 27, 2012
Posts
55
Reaction score
5
Salam wana JF.

Mimi ni mhanga wa ugonjwa wa typhoid ambao umeweka makazi mwilini mwangu. Kila nikitumia dawa baada ya muda mfupi unarudia tena.

Nimesoma thread mbalimbali nimeona dawa moja ya asili inaitwa songwa...nyanya pori.

Wana JF kwa mwenye kuijua dawa hii na namna ya kupatikana tafadhali anijulishe.

Asanteni sana.
 
Umeshawahi kujaribu unga wa mbegu za papai,?. Hii ni kiboko kwa typhoid
 
Kijana nakushauri ukafanye culture na sensitivity ili ujue ni dawa gani itaua vidudu vya typhoid ulivyo navyo,huenda dawa huzitumii vizuri na vidudu vimekuwa resistent.Tumia dawa kwa siku 10 hadi 14 bila kukosa.
 
Acha kunywa maji ya viroba piga mswaki na maji yaliyochemshwa osha matunda kwa maji yaliyochemshwa usile kwa mama mwenda angalia mdada wako wa kazi kama anachemsha maji ya kunywa wengi huwa wanayapasha moto tu
 
Ndugu.mwenyewe nimesumbuliwa sana. Baada ya kuwa nalalamika rafiki yangu alimwambia jamaa yake tanga.ndio nikaletewa. Ukiitaji ntakupunguzia bure na wewe ujitibie.ni mizizi unaikatakata.unaisafisha unaweka kwenye chupa ya uhai ya lita moja na maji.iyo chupa unaianika juani. Bac jion unakunywa glas 1. Asubuh 1.muda wa siku mbili
 
Mkuu, shukrani sana kwa moyo huo. Yes nahitaji hiyo dawa kaka ata niwe nayo tu kwa akiba. Maana kwa sisi tunaoishi uswazi, typhoid ni janga sugu! Napenda sana dawa za asili.

Na mleta mada duocore, embu kuja kipande hii usikie hii habari njema.

Huo ndo utanzania tunaojivunia, kusaidiana kama ndugu.
 
Last edited by a moderator:
Umeshawahi kujaribu unga wa mbegu za papai,?. Hii ni kiboko kwa typhoid

Mkuu pcman, tiba iyo ikoje kaka. Ielezee mkuu kwa faida ya wasomaji wote. Typhoid ni janga kwa wengi
 
Last edited by a moderator:
Salam wana JF.

Mimi ni mhanga wa ugonjwa wa typhoid ambao umeweka makazi mwilini mwangu. Kila nikitumia dawa baada ya muda mfupi unarudia tena.

Nimesoma thread mbalimbali nimeona dawa moja ya asili inaitwa songwa...nyanya pori.

Wana JF kwa mwenye kuijua dawa hii na namna ya kupatikana tafadhali anijulishe.

Asanteni sana.
Using Garlic is another best and top home remedy for typhoid fever because Garlic contains theantimicrobial properties which is very helpful for diarrhea and Garlic is also very good to boost your immune system and it also helps to eliminate the harm toxins from your body and helps to get youhealthy and fit.Eat 2 Garlic on an empty stomach and you can also mix half spoons of crush
Garlic
with1 cup of milk and 3 cups of water and drink it 3 times a day for quick recovery from typhoid fever.

Top-5-Home-Remedies-For-Typhoid-Fever-5.jpg
 
Attachments

  • Top-5-Home-Remedies-For-Typhoid-Fever-5.jpg
    Top-5-Home-Remedies-For-Typhoid-Fever-5.jpg
    17.4 KB · Views: 374
Ndugu.mwenyewe nimesumbuliwa sana. Baada ya kuwa nalalamika rafiki yangu alimwambia jamaa yake tanga.ndio nikaletewa. Ukiitaji ntakupunguzia bure na wewe ujitibie.ni mizizi unaikatakata.unaisafisha unaweka kwenye chupa ya uhai ya lita moja na maji.iyo chupa unaianika juani. Bac jion unakunywa glas 1. Asubuh 1.muda wa siku mbili

tupatie dawa fasta ,embu weka namba turuke
 
kwa anayeumwa ugonjwa wowote sugu na si typhoid tu ugonjwa wowote sugu tuma Maelezo yako kwenye imel hi I ypspyz@gmail.com
 
Mkuu, shukrani sana kwa moyo huo. Yes nahitaji hiyo dawa kaka ata niwe nayo tu kwa akiba. Maana kwa sisi tunaoishi uswazi, typhoid ni janga sugu! Napenda sana dawa za asili.

Na mleta mada duocore, embu kuja kipande hii usikie hii habari njema.

Huo ndo utanzania tunaojivunia, kusaidiana kama ndugu.
Ndugu asante kwa kunijulisha. Nimejaribu kupiga namba ya simu ya Adolf 0652393393 system inasema namba hiyo haipo, tafadhali Adolf tupatie namba ili tuwasiliane tafadhali tunateseka sana na ugonjwa huu
 
Back
Top Bottom