duocore
Member
- Aug 27, 2012
- 55
- 5
Salam wana JF.
Mimi ni mhanga wa ugonjwa wa typhoid ambao umeweka makazi mwilini mwangu. Kila nikitumia dawa baada ya muda mfupi unarudia tena.
Nimesoma thread mbalimbali nimeona dawa moja ya asili inaitwa songwa...nyanya pori.
Wana JF kwa mwenye kuijua dawa hii na namna ya kupatikana tafadhali anijulishe.
Asanteni sana.