Ndugu.ipo miti ni siku mbili 2
Ndugu.mwenyewe nimesumbuliwa sana. Baada ya kuwa nalalamika rafiki yangu alimwambia jamaa yake tanga.ndio nikaletewa. Ukiitaji ntakupunguzia bure na wewe ujitibie.ni mizizi unaikatakata.unaisafisha unaweka kwenye chupa ya uhai ya lita moja na maji.iyo chupa unaianika juani. Bac jion unakunywa glas 1. Asubuh 1.muda wa siku mbili
N0.0652393393adolf
Using Garlic is another best and top home remedy for typhoid fever because Garlic contains theantimicrobial properties which is very helpful for diarrhea and Garlic is also very good to boost your immune system and it also helps to eliminate the harm toxins from your body and helps to get youhealthy and fit.Eat 2 Garlic on an empty stomach and you can also mix half spoons of crushSalam wana JF.
Mimi ni mhanga wa ugonjwa wa typhoid ambao umeweka makazi mwilini mwangu. Kila nikitumia dawa baada ya muda mfupi unarudia tena.
Nimesoma thread mbalimbali nimeona dawa moja ya asili inaitwa songwa...nyanya pori.
Wana JF kwa mwenye kuijua dawa hii na namna ya kupatikana tafadhali anijulishe.
Asanteni sana.
Ndugu.mwenyewe nimesumbuliwa sana. Baada ya kuwa nalalamika rafiki yangu alimwambia jamaa yake tanga.ndio nikaletewa. Ukiitaji ntakupunguzia bure na wewe ujitibie.ni mizizi unaikatakata.unaisafisha unaweka kwenye chupa ya uhai ya lita moja na maji.iyo chupa unaianika juani. Bac jion unakunywa glas 1. Asubuh 1.muda wa siku mbili
Ndugu asante kwa kunijulisha. Nimejaribu kupiga namba ya simu ya Adolf 0652393393 system inasema namba hiyo haipo, tafadhali Adolf tupatie namba ili tuwasiliane tafadhali tunateseka sana na ugonjwa huuMkuu, shukrani sana kwa moyo huo. Yes nahitaji hiyo dawa kaka ata niwe nayo tu kwa akiba. Maana kwa sisi tunaoishi uswazi, typhoid ni janga sugu! Napenda sana dawa za asili.
Na mleta mada duocore, embu kuja kipande hii usikie hii habari njema.
Huo ndo utanzania tunaojivunia, kusaidiana kama ndugu.