Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Yeah nikweli vinamsaada sanaKula asali, ovacado na kabichi, asali inatibu vidonda na ovacado halina acid.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah nikweli vinamsaada sanaKula asali, ovacado na kabichi, asali inatibu vidonda na ovacado halina acid.
Asubuhi unachemsha mdalasini unaweka asali, lunch unasteam kabichi unakatia parachichi juuYeah nikweli vinamsaada sana
Nimefanya sana ivyo Mkuu,now niko poa kabisa na saiz chakula chochote ninachokula nikiwa home lazima parachichi liwepo na asaliAsubuhi unachemsha mdalasini naweka asali, lunch unasteam kabichi unakatia parachichi juu
Bicarbonate soda ile ya maandazi ni dawa nzuri ya vidonda vya tumbo Mimi ilinisaidia na Niko vizuri kwa sasa. ....unaeka kijiko kimoja cha chai kwenye maji glass moja unakologa unakunywa asubuh kingine jioni kabla hujala chochote ikipita nusu SAA unakula chakula
Pole sana kama umeshaanza kutapika wahi mapema hospital.Ninawashukuru sana kwa michango yenu! Ngoja niende hospital maana ni km nimejitonesha, tumbo linauma na linaendana na kutapika pia! Sky Eclat doch King Kong III Ndumbula Ndema Mzigua90..!
Asante mkuu, kwanza nimeambiwa niache kunywa hayo maziwa mtindi, pia nimepewa, amoxy na omeprazole!Pole sana kama umeshaanza kutapika wahi mapema hospital.
Dose :Tsh 130000
Pole sana mkuu wangu! Asali inasaidia sana!Kwakw eli nasumbuka sana wakuu
Kwakweli nasumbuka sana wakuu
Iko kipimo cha endoscopy bei gani mkuuasanteee kwa maelezo
mi nilipima kwa kipimo cha Endoscopy but sijajua sasa vimesababishwa na nini? na doctor hakunipa maelezo zaid,alinambia tu ninavidonda vya tumbo na nikapewa dawa tu za kutuliza maumivu