Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Mkuu pole sana,nina mdogo wangu alikua ana tatizo hilo lakini tunamshukuru Mungu alipata tiba na sasa hivi yupo vizuri anakula maharage,dagaa,pilipili ,najua maumivu unayoyapata,kama utakua haujapata msaada ni PM
 
Jaman wanajf naombeni msaada wa dawa ya vidonda vya tumbo,mana nimetumia dawa nyingi tu ila zinatuliza maumivu tu kwa mda fulan,So kwa yeyote yule anayefahamu dawa inayoweza kuponya kabsa naomba anisaidie plizz
pole sanaaa,
Mcheki huyu umueleze shida yako 0674731277
 
Mkuu pole sana,nina mdogo wangu alikua ana tatizo hilo lakini tunamshukuru Mungu alipata tiba na sasa hivi yupo vizuri anakula maharage,dagaa,pilipili ,najua maumivu unayoyapata,kama utakua haujapata msaada ni PM
asantee
 
Sisi tunaumwa ulcers tupo wengi, tunahitaji msaada wa kila ndugu humu! Sa wote tuje piyemu! Kulikoni?
 
Mkuu pole sana,nina mdogo wangu alikua ana tatizo hilo lakini tunamshukuru Mungu alipata tiba na sasa hivi yupo vizuri anakula maharage,dagaa,pilipili ,najua maumivu unayoyapata,kama utakua haujapata msaada ni PM
Pm tena mkuu? Kuna mdogo wangu anahitaji sana dawa ya kumponya, tuletee hapa tufaidi wote mkuu.
 
Mkuu pole sana,nina mdogo wangu alikua ana tatizo hilo lakini tunamshukuru Mungu alipata tiba na sasa hivi yupo vizuri anakula maharage,dagaa,pilipili ,najua maumivu unayoyapata,kama utakua haujapata msaada ni PM
Tiba alipata wapi mkuu tuambizane tufaidike wengne
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…