Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Hilo linajulikana mdau ashatumia sana hayo anachotaka njia haswa aweze kupona.... mbona unaleta story story tu
 
Dawa ya vidonda ni kupunguza mawazo / stress.
Ukilala kunywa dawa ya kuleta usingizi kama vile Piriton, koflyin au pombe kali nusu glass. Ukilala unalala fofofo na wala hutosikia tumbo likikuuma.
Utakuja kuua watu mkuu
 
Mkuu thread yako ni informative sana kiasi kwamba nimekumbuka kuna mdau mmoja wa dawa za asili (yupo Facebook) aliwahi post article hii nikaisoma kwa umakini sana na leo nimeirudia kwa utulivu sana na kwakweli nimeondoka na mambo ya msingi sana ubarkiwe chief
 
Asante sana Mkuu.
 
Wakuu Amani iwe kwenu,
Naomba msaada juu ya dawa ya "Omeprazole" jamii ya dawa hizo ambazo mimi (nikiwa kama sio daktari) naziona ni kama dawa za kutuliza maumivu ya vidonda vya tumbo.
Ombi langu kwenu ni kwamba nimekuwa nikiandikiwa pharmacy/dispensary 1*1,kwingine 1*2,though mm huwa nafata 1*1,kila famasia hujiona yupo sahihi pale napomuuliza juu ya umezaji kwa kutwa wa dawa hizo.
Age: Adult
Bwt: 65 kg
Ila pia kama kuna dawa zingine zinazoleta mkanganyiko mnaweza kutolea ufafanuzi.
Natanguliza shukrani za dhati kwenu wataalamu wangu
 
Hizi dawa kazi yake ni kupunguza uzalishaji wa acid inayomeng'enya chakula tumboni (HCL), ili kukipa kidonda na koo muda wa kupona. Sasa dozi yake huwa inaendana na hali yako kama unapata kiungulia na kubeua sana au kiasi. Pia kuna milligrams tofauti mfano 20mg na 40 mg kwahiyo 20mg unakunywa mara 2 kwa siku na 40 mara moja. Pia kama unabeua sana au koo limechubuka sana unapewa mg kubwa mara mbili kwa siku.
 
```TIBA YA KUDUMU YA VIDONDA VYA TUMBO```

```Mfumo wa mmeng'enyo wa chakula ni mfumo katika mwili unaohusika na umeng'enyaji wa chakula mpaka kuwa katika hali inayoweza``` ```kusharabiwa na mwili.```

Sehemu kuu ```zinazohusika katika umeng'enyaji huo ni kinywa, umio 'Esophagus', mfuko wa tumbo 'Stomach',``` ```ini``` , ```mfuko wa nyongo, utumbo mwembamba, kongosho, utumbo mpana na puru (Rectum``` )

Mfumo wa mmeng'enyo wa ```chakula hasa kuta za umio, tumbo na utumbo mwembamba hupata mmomonyoko ambao husababishwa na asidi inayotumika kumeng'enya chakula``` ```inaposhambulia kuta``` ```hizo. Kitaalamu hali hii hutambulika kama ('Peptic ulcers)```



```Vidonda vya mfumo wa umeng'anyaji chakula vikiwa kwenye tumbo tunaita vidonda vya tumbo (Gastric ulcer) vikiwa katika duodenum tunaita 'Duodenal ulcer' na vikiwa katika esophagus tunaita (Esophageal ulcer)
``` ```
```SABABU ZA``` ``VIDONDA VYA``` ```TUMBO``````

```_Bakteria aina ya Helicobacter pylori 'H.pylori' & Non-Steroidal Anti Inflammatory Drugs 'NSAIDs' ndio visababishi vikuu.

Bakteria H.pylori_``` ```wanahusika sana kwa angalau nne ya tano ya vidonda vya tumbo 'Gastric ulcers' & 95% ya 'Duodenal ulcers' ambapo NSAIDs husababisha 20% ya 'Gastric ulcers' na 5% ya 'Duodenal ulcers'

Bakteria H.pylori husababisha kupitia``` ```vyakula na maji. Pia hupatikana kwenye mate ya binadamu hivyo inaweza kusambazwa mdomo kwa mdomo wakati mkila denda/kunyonyana``` midomo.

```Bakteria H.pylori huishi kwenye kuta za utumbo na hutengeneza vimeng'enya 'Enzyme' iitwayo 'Urease' inayopunguza athari za asidi kwenye utumbo.

Utumbo hutaka kufidia``` kiasi cha asidi ```kinachopotea kwa kutengeneza zaidi na husababisha kukwangua kuta za utumbo.

Non-Steroidal Anti Inflammantory Drugs``` ' ```NSAIDs' ni dawa za kutuliza maumivu ya kichwa, maumivu ya hedhi, kushusha homa na kuondoa maumivu madogo madogo mfano Aspirin, Ibuprofen,Diclofenac & Meloxicam. Dawa``` hizi hupunguza uwezo wa kuta za tumbo na ```kufanya uwe rahisi kushambuliwa na asidi za tumboni hivyo kusababisha vidonda.

Chembe za urithi 'Genetics': Idadi kubwa ya watu wenye vidonda vya tumbo wana ndugu``` ```wa karibu wenye vidonda``` ```pia, hii huwafanya wataalamu kufikiria``` ```kuwa chembe za urithi``` ```zinahusika pia.```

```Uvutaji sigara/tumbaku: Wavutaji wa sigara wako katika hatari ya kupata vidonda vya tumbo ikilinganishwa na wasiovuta.

Matumizi ya pombe/vilevi: Walevi wako katika hatari zaidi ya kupata vidonda vya tumbo ikilinganishwa na``` ```wasiotumia``` ```vileo/pombe``` .

```Msongo wa mawazo 'Mental stress': Msongo wa mawazo hausababishi vidonda moja kwa moja ila hufanya hali kuwa``` ```mbaya``` ```zaidi kwa``` ```wagonjwa.```

```DALILI ZA VIDONDA VYA``` ```TUMBO```

```Hata hivyo ni mara chache sana mtu kuugua vidonda vya tumbo na kutoonyesha dalili.Zifuatazo``` ```zinazotokea kwa``` ```wagojwa wengi:-```

=> ```Maumivu ya``` ```tumbo na huwa makali zaidi pale asidi inapopita``` ```juu ya vidonda.```

```Maumivu yanaweza anzia kwenye kitovu na kupanda juu hadi katikati ya kifua 'Epigastric pain``` '

```Maumivu yanaweza kuongezeka unapokuwa njaa. Pia yanaweza kuwa makali wakati wa usiku kwenye mida ya kulala, yanayoweza kupunguzwa kwa kula chakula kidogo``` .

=> ```Kushindwa kumeza vizuri chakula.

=> Chakula kukwama kama kinataka kurudi``` mdomoni.

=> ```Kujisikia vibaya baada ya``` ```kula``` .

=> ```Kupungua uzito.```

=> ```Kukosa hamu ya kula.```

```DALILI ZA HATARI```

=> ```Kutapika damu.```

=> ```Kupata choo kikubwa cheusi au chenye damu nzito.
```
=> ```Kichefuchefu & kutapika.```

TUMIA ```Isomalto.Gharama yake Ni 142,000 tuu.Hii ndio kiboko yake.
 
ACHENI KUTUMIA MATATZO YA AFYA ZA WATU KUA MITAJI KWENU.

DAWA YA VIDONDA VYA TUMBO HATA ELFU10 NYINGI SANA KWA HAYA MADAWA YASIYO NA HAKIKA WALA SCIENTIFIC PROVED.

acheni uhuni ndo mana kigwangwala alitaka kulaga sahan moja na nyinyi kwa dawa zenu hizo za kihuni.

Binafsi nina vidonda vya tumbo na wahuni kama nyinyi wa tiba mbadala ni shakutana nao wengi sanaaa,mnakuaga na story kubwa sana za ushuhuda wa watu kupona kumbe uhuni tu
 
Mbegu ya tunda la avacado inatibu moyo na cholestrarol
Nani kakuambia inatibu vidonda vya tumbo?
 
Wadau mimi mgeni hapa JF,

Napenda kuuliza kama kuna ambao mmewahi kuugua vidonda vya tumbo mkawa na tatizo la ukosefu wa usingizi, woga ulokithiri, moyo kwenda mbio sana, kusahausahasu, hasira zisizo za lazima, maumivu makali ya mgongo, kupungua kwa uwezo wa ubongo kupambanua mambo, mwili kukosa nguvu, kujamba kila wakati, n.k.

Naomba kama mpo mnisaidie ushauri mlifix vipi tatizo hili.
 
[emoji269] VIDONDA VYA TUMBO NA TIBA YAKE[emoji269]
[emoji298]Mfumo wa mmeng'enyo wa chakula ni mfumo unaohusika na umeng'enyaji wa chakula mpaka kuwa katika hali inayoweza kusharabiwa na mwili.
[emoji298]Sehemu kuu zinazohusika katika umeng'enyaji huo ni kinywa, umio 'Esophagus', mfuko wa tumbo 'Stomach', ini, mfuko wa nyongo, utumbo mwembamba 'Duedenum & Ileum', kongosho, utumbo mpana na puru 'Rectum'.
[emoji298]Mfumo wa mmeng'enyo wa chakula hasa kuta za umio, tumbo na utumbo mwembamba hupata mmomonyoko ambao husababishwa na asidi inayotumika kumeng'enya chakula inaposhambulia kuta hizo. Kitaalamu hali hii hutambulika kama 'Peptic ulcers'.

stomach_ulcers
Vidonda vya mfumo wa umeng'anyaji chakula vikiwa kwenye tumbo tunaita vidonda vya tumbo 'Gastric ulcer', vikiwa katika duodenum tunaita 'Duodenal ulcer' na vikiwa katika esophagus tunaita 'Esophageal ulcer'

[emoji891]SABABU ZA VIDONDA VYA TUMBO[emoji891]
[emoji117]Bakteria aina ya Helicobacter pylori 'H.pylori' & Non-Steroidal Anti Inflammatory Drugs 'NSAIDs' ndio visababishi vikuu.
[emoji117]Bakteria H.pylori wanahusika sana kwa angalau nne ya tano ya vidonda vya tumbo 'Gastric ulcers' & 95% ya 'Duodenal ulcers' ambapo NSAIDs husababisha 20% ya 'Gastric ulcers' na 5% ya 'Duodenal ulcers'
[emoji117]Bakteria H.pylori husababisha kupitia vyakula na maji. Pia hupatikana kwenye mate ya binadamu hivyo inaweza kusambazwa mdomo kwa mdomo wakati mkila denda/kunyonyana midomo.
[emoji117]Bakteria H.pylori huishi kwenye kuta za utumbo na hutengeneza vimeng'enya 'Enzyme' iitwayo 'Urease' inayopunguza athari za asidi kwenye utumbo.
[emoji117]Utumbo hutaka kufidia kiasi cha asidi kinachopotea kwa kutengeneza zaidi na husababisha kukwangua kuta za utumbo.
[emoji117]Non-Steroidal Anti Inflammantory Drugs 'NSAIDs' ni dawa za kutuliza maumivu ya kichwa, maumivu ya hedhi, kushusha homa na kuondoa maumivu madogo madogo mfano Aspirin, Ibuprofen,Diclofenac & Meloxicam. Dawa hizi hupunguza uwezo wa kuta za tumbo na kufanya uwe rahisi kushambuliwa na asidi za tumboni hivyo kusababisha vidonda.
[emoji117]Chembe za urithi 'Genetics': Idadi kubwa ya watu wenye vidonda vya tumbo wana ndugu wa karibu wenye vidonda pia, hii huwafanya wataalamu kufikiria kuwa chembe za urithi zinahusika pia.
[emoji117]Uvutaji sigara/tumbaku: Wavutaji wa sigara wako katika hatari ya kupata vidonda vya tumbo ikilinganishwa na wasiovuta.
[emoji117]Matumizi ya pombe/vilevi: Walevi wako katika hatari zaidi ya kupata vidonda vya tumbo ikilinganishwa na wasiotumia vileo/pombe.
[emoji117]Msongo wa mawazo 'Mental stress': Msongo wa mawazo hausababishi vidonda moja kwa moja ila hufanya hali kuwa mbaya zaidi kwa wagonjwa.

[emoji263]DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO[emoji263]
[emoji298] Maumivu ya tumbo na huwa makali zaidi pale asidi inapopita juu ya vidonda.
...Maumivu yanaweza anzia kwenye kitovu na kupanda juu hadi katikati ya kifua 'Epigastric pain'
...Maumivu yanaweza kuongezeka unapokuwa njaa. Pia yanaweza kuwa makali wakati wa usiku kwenye mida ya kulala, yanayoweza kupunguzwa kwa kula chakula kidogo.
[emoji298] Kushindwa kumeza vizuri chakula.
[emoji298] Chakula kukwama kama kinataka kurudi mdomoni.
[emoji298] Kujisikia vibaya baada ya kula.
[emoji298] Kupungua uzito.
[emoji298] Kukosa hamu ya kula.

[emoji267]DALILI HATARI[emoji267]
[emoji298]Kutapika damu.
[emoji298] Kupata choo kikubwa cheusi au chenye damu nzito.
[emoji298] Kichefuchefu & kutapika.

JINSI VIDONDA HUGUNDULIWA:-

Maelezo ya mgonjwa juu ya dalili alizonazo humsaidia daktari kuhisi kinachomsumbua mteja wake ni vidonda vya tumbo.

Ili kuthibitisha vidonda vipimo vifuatavyo hufanyika :-

Kupima damu 'Blood test'

Kuangalia bakteria aina ya H.pylori na kama mgonjwa amekuwa akitumia antibayotiki au dawa za vidonda Proton Pump Inhibitors 'PPIs' mfano Omeprazole vipimo vyake vya damu vitaonyesha majibu hasi 'Negative'

Kupima pumzi 'Breath test'

Mgonjwa hupewa anywe maji yenye atomi za kaboni zinazoweza kuvunjika, hii hufanya bakteria H.pylori kuvunjika na baada ya lisaa mgonjwa hutoa pumzi kwenye chombo kilichofunikwa kama mgonjwa ameambukizwa sampuli ya pumzi itaonyesha vipande vya kaboni kwenye kabonidioksaidi.

Kupima antijeni kwenye kinyesi 'Stool antigen test'

Kipimo hiki huangalia kama kuna bakteria H.pylori kwenye kinyesi. Vilevule kipimo hiki hutumika kuangalia ufanisi wa matibabu yaliyotolewa dhidi ya bakteria.

X-ray ya sehemu ya juu ya tumbo 'Upper gastrointestinal x-ray'

Picha huonyesha umio 'Esophagus', mfuko wa tumbo 'Stomach' na Dudenum. Mgonjwa humeza maji yenye 'Barium' ambayo hufanya vidonda kuonekana kirahisi kwa x-ray.

Kamera ya tumbo 'Endoscopy'. Mrija mrefu wenye kamera huingia tumboni na daktari huona vidonda kwenye skrini ya kompyuta 'Monitor'.

[emoji298]MATIBABU YA VIDONDA VYA TUMBO[emoji298]
Kama vidonda vitakuwa vimesababishwa na bakteria H.pylori dawa za kuua na kuondoa bakteria hutumiwa.

Kama vidonda vya tumbo vitakuwa vimesababishwa na 'NSAIDs' na hana maambukizi ya bakteria H.pylori atapaswa kutumia dawa Proton Pump Inhibitors 'PPIs'

Proton Pump Inhibitors 'PPIs' hufanya kazi kwa kuvunja/kuzuia kazi ya protini ziitwazo 'Proton Pump' ambazo huhusika katika utengenezaji wa asidi tumboni.

Matumizi ya NSAIDs kwa ajili ya kuondoa homa na maumivu yatalithiwa na dawa kama Paracetamol.

Matibabu yaliyozungumziwa hapo juu yanaweza kuchukua muda kabla ya kuanza kufanya kazi hivyo daktari anaweza kuongeza matibabu mengine kama vizuia asidi 'Antiacids' & 'Alginates' kwa ajili ya nafuu ya haraka.

Usitumie dawa hizi ndani ya lisaa moja baada ya kunywa PPIs mfano Omeprazole au H2-Receptor Antagonists mfano Cimetidine.

[emoji298][emoji298]Matibabu kwa njia za asili, zipo dawa mbali mbali unazoweza tumia zikiwa kwenye mfumo wa unga au kimiminika

Kwa ushauri na tiba kwa maradhi mbali mbali wasiliana nasi.
what's app /call
+255 655 821 550
Sulayman Sangida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…