Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Helicobacter pylori (H. pylori ) ni bakteria ambao husababisha uvimbe sugu( gastritis ) ndani ya tumbo la binadamu . Bakteria hawa huchukuliwa kama visababishi vya kawaida vya vidonda vya tumbo duniani kote, asilimia 90% ya watu wote duniani wenye vidonda vya tumbo wamekutwa na H.pylori. Kama Hujapima maambukizi haya hatari ya hawa wadudu basi nenda kapime sasa hivi kwenye kituo cha karibu na wewe. Alafu piga simu number 0689715296
Utapeli tu. Tangu lini dozi ikagharimu zaidi ya Tsh.300,000, hiyo so no gharama ya operation yakubadilisha utumbo
 
Utapeli tu. Tangu lini dozi ikagharimu zaidi ya Tsh.300,000, hiyo so no gharama ya operation yakubadilisha utumbo
Wakati wanafanya matangazo wanakuam ia dawa ni shilingi elfu tano ilikuwa mwaka 2014 ukifika kwao wanakuambia unatakiwa kunywa chupa 300 na kila kichupa cha 50ml kama sikosei ni 5K... Kupona bado ni shughuli
 
Nilitumia sana hizi dawa, nilitumia karibia za laki 4 na sikupona. Ni uhuni tu
 
Punguza mawazo, kula chakula kisicho chacha na kisicho na machungu mengi. Utapona tu achana na madawa
 
Ni Hilo tu maana napata maumivu kama nachomwa na sindano kifuani halafu naskia maumivu mpka tumbon
 
Mkuu ipo dawa itakayo kusaidia na kuepukana na hiyo laki tisa kwenda kufanya vipimo
Mmb powder dawa ya vidonda vya tumbo Asilia inazuia kutapika damu pamoja na kutibu vidonda vya tumbo dose yake ni elfu 30 unaitumia kikamilifu ndani ya mwezi mmoja kwa muhitaji Piga namba 0754 446724 Voda au 0683882959 mikoan tunatuma unachangiwa asilimia 50 ya nauli.
Usije ukambebesha mwenzio Jini la kumlinda asipatwe na vidonda vya tumbo
 
TAFUTA POPOTE MAZIWA YA MBUZI UNYWE KAMA DAWA ASUBUHI MCHANA JIONI ,NDUGU ZANGU WENGI WAMEPONA ,WALIZUNGUKA HOSPITAL ZOTE WAKAMALIZA DAWA ZOTE WAKAMALIZA MWISHO WAKAJA KUPONEA KWENYE MAZIWA YA MBUZI

Nimetumia herufi kubwa kwa msisitizo kila mtu afahamu
 
Pole na shida hyo, binafsi niliumwa na vidonda vya tumbo kwa miaka mitatu Lakini nilielekezwa na jamaa niliyekutana na ye. Niliekezwa bure nami natoa bure. Tafuta majani flani ntaatach hapa ya aina mbili nayo ambayo utayachuma na kuyatwanga yakiwa mabichi na kisha kuandaa maji ya uvuguvugu na kisha kuyachanganya na hiyo rojo na kisha chuja. Kikombe kimoja cha robo lita kwa siku 3. Nawe utaona kama nilivyopona. Nina mwaka wa 4sasa toka nione. So ni hakika na nisemalo. Majina ya hayo majani siyajui kwa majina yake ila picha zake ndio hizo hapo. Enjoy the remedy View attachment 1077568View attachment 1077569
Hii kitu inabudiwa Nchi nyingi Asia... Wahindi wengi hasa baniani na huko Indonesia huuona kama mti wa Miujiza wanaiita Basil Mbegu zake ukiziloweka kwenye zinatengeneza level fulani kama udenda unaweza weka sukari au asali unakunywa zinakibu magonjwa mengi sana kwa uhakika... kuhusu majani yake sijui ila vimti hivi hupandwa kama maua kwenye chungu kwa wanaokaa kwenye maghorofa na wenye nyumba za chini huzipanda karibu na mirango wanaamini zinazuia hadi mashetani .n.k

1564774021982.png
1564774067569.png
1564774096922.png
1564774146737.png
1564774377397.png

MS Young woman worshipping holy basil outside house / Sonipat, Haryana, India
 
Epuka kula nyama nyekundu, maziwa, punguza starch
Ongeza kula asali chai ya mdalasini, kabichi na maparachichi.
 
Pole sana!! dawa zipo nyingi sana.

Moja inaweza isifanye kazi kwako ikafanya kazi kwa meingine, vile vile ile isiyofanya kazi kwake ikafanya kazi kwako.

Ila nakushauri utumie zaidi tiba asili
 
TAFUTA POPOTE MAZIWA YA MBUZI UNYWE KAMA DAWA ASUBUHI MCHANA JIONI ,NDUGU ZANGU WENGI WAMEPONA ,WALIZUNGUKA HOSPITAL ZOTE WAKAMALIZA DAWA ZOTE WAKAMALIZA MWISHO WAKAJA KUPONEA KWENYE MAZIWA YA MBUZI

Nimetumia herufi kubwa kwa msisitizo kila mtu afahamu
Kwa siku ngapi?
 
Vidonda vya tumbo (Peptic ulcers) vinasababishwa na bacteria wanaoitwa Helicobacter pylori ( H. pylori) . Hao ndio wanaosabaisha vidonda vya tumbo. Unawapata kwa njia ya kunywa maji na kula vyakula vyenye bakteria hao. Dawa ni Atibiotics (km Amoxillin) pamoja na Metronidazole ukichanganya na Omeprazole.
 
Back
Top Bottom