Utapeli tu. Tangu lini dozi ikagharimu zaidi ya Tsh.300,000, hiyo so no gharama ya operation yakubadilisha utumboHelicobacter pylori (H. pylori ) ni bakteria ambao husababisha uvimbe sugu( gastritis ) ndani ya tumbo la binadamu . Bakteria hawa huchukuliwa kama visababishi vya kawaida vya vidonda vya tumbo duniani kote, asilimia 90% ya watu wote duniani wenye vidonda vya tumbo wamekutwa na H.pylori. Kama Hujapima maambukizi haya hatari ya hawa wadudu basi nenda kapime sasa hivi kwenye kituo cha karibu na wewe. Alafu piga simu number 0689715296