Napata nafuu kwa mda tu.Ila nimejaribu sana kuepuka vyakula visivyotakikana.Tatizo ni hao bacteria wana resist dawa.
Ahsante kwa kushukuru chief.Ushimen, Asante mkuu
Hivyo ni vidonda vya tumbo bila shakaYes kama nikila embe,nanasi, (citrus zote)soda,majuis ya dukani,vitu vya baridi,viazi,nyama yaani kifupi sina chema tumbo linanivuruga wakati wote.Nikila kidogo tumbo linajaa gesi.Nimekua mkali kama pilipili.kila saa mahasira.Na mind vitu vya kijinga hadi wakati mwingine najishangaa
Mkuu unaweza kuni PM haina shida.Asante kwa ushauri nitafanyia kazi
Ni kwel mkuuMzee Embe, nanasi, chenza, chungwa vina asidi nyingi? Duuh hii ndio naiskia leo asee
Ningemuelekeza kwa mganga naona ungefurahi zaidi kwani kule anasomewa kiarabu
Nipo naye sasaivi namba za simu nimekutumia pm unipigie nikupe akupe maelekezo ya hospital aliyoenda ila ni kwa huku Arusha ndio alipata matibabu kwa taarifa zaidi nipigieVipi umempata?
Well said.Unajua nimegundua hili tatizo ni la wengi.Hakika kama kuna mwenye dawa ni vema tukazungumza hapa hapa.Na baada ya matumizi nitakuja na mrejesho pia itakua msaada kwa wengine.Asante
Black seed nimetumia mkuu haikunipa matokeo yeyoteJaribu tiba za kisuni, hasa hasa jaribu kufuatilia kuhusu Black Seed oil mafuta ya Habat souda. Ni nzuri sana wanasema inatibu magonjwa yote isipokuwa kifo ukizingatia dozi.