Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Acha kabisa alafu mimi nahisi maumivu nikikohoa naambiwa nina hasidi nyingi nakipindi iki nilikuwa nakunywa maji yenye limao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli ukitumia malimao yana sababisha vidonda vya tumbo hata hayo matunda mengine kama matamu

Wewe matunda yako mazuri ni parachichi achana kabisa na swala malimao machugwa na mavitu yenye acidi nyingi

Kunywa maji ya moto
Na maziwa ya mtindi tu yatalinda afya yako
Mboga zamajani basi .
Na sio otherwise

Vitu vya vitamin C vina acid sana sana

Kwa ulinzi wa Corona kinuwa maziwa ya mtindi tu Mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nishajaribu hii haikua na msaada

CCM OYEE!MISIMAMO DAIMA
 
Inategemea hatua iliyofikia. Mimi ninazo dawa za vidonda tatu. Nicheki dm
 
Naomba nipmc ndugu nikuunganishe na mtu mwenye dawa ,kwa sasa yupo dar kama na wewe upo huko ni vizuri zaidi kuepusha utapeli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wana Jamvi, naombeni msaada nini cha kufanya pale vidonda vya tumbo (ulcers) vinapo kuuma? Na ipi ni dawa ya kuvimaliza kabisa?
 

Asante kiongozi acha nifatilie kwanza nijue kisababishi
 
sikiliza mimi nimeumwa vidonda vya tumbo 4 yrs, lakini huwezi amini dawa yake ni ukwaju, kuna namna ya kuandaa, inaitaji maelekezo kidogo siwezi sema yote hapa ni process, nulipona kwa hivyo na maharage natafuna kama kawa!
Fafanua kidogo mkuu ukwaju huo unatumikaje?

Vidonda vyako vilisababishwa na nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu huyo mama nipatie namba yake pls
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…