Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,101
- 11,381
Jiadharini na hao wanaotangaza dawa za vidonda vya tumbo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani sijawai acha ata siku moja
Hasante mkuuPole sana
Mkuu nacho jiuliza why maumivu yakate afu yarudi tenaKama kweli unaumwa miezi 3 si kitu, kuna anayetamani kupata ya kunywa mwaka ila Hakuna tiba, Acha masihara
Mkuu nacho jiuliza why maumivu yakate afu yarudi tena
Hasante Sana, na chai ya rangiPole sana, acha kula vyakula vifuatavyo,
Maharage,chai ya rang, viazi vitamu, ndizi hasa za kuchemsha,pombe aina yeyote, soda, chipsi,pili pili,nk kidogoooo itakusaidia kupunguza tatizo la muamivu
Nipo ArushaPole sana, wewe unapatikana wapi? Kuna Dr yuko mbeya yuko vzuri sana. Waweza niona PM nikupatie namba uzungumze nae.
HasantePole mkuu
Hasante= Asante!Hasante Sana, na chai ya rangi