Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Pole sana, acha kula vyakula vifuatavyo,
Maharage,chai ya rang, viazi vitamu, ndizi hasa za kuchemsha,pombe aina yeyote, soda, chipsi,pili pili,nk kidogoooo itakusaidia kupunguza tatizo la muamivu
pia aepuke kula dagaa na citrus fruits - limao, ndimu na machungwa.
 
Wew unatania aliyekwambia nani dozi Ni siku kumi, huuu ujuwaji ndo unawaponza watanzania mm nmeugua vidonda vya tumbo miaka mitatu, nliacha kula kila kitu cha acid nikawa vigeterian Kama mbuzi, na Leo matunda nmepata Leo hii natandika kila chakula nlishapona kitambo huu mwezi Wa 10 sasa ,

Nlichokuwa nakifanya nliacha ujuaji na nikawa nasikiliza kila dawa mtu akiniambia natumia hasa hizi za mitishamba na ukiniuliza nmepona kwa dawa gani sina jibu maana nmetafuna mitishamba ya kutosha na kuzingatia maelekezo ya wataalam.

Acha ujuaji utapona
 
Mkuu nacho jiuliza why maumivu yakate afu yarudi tena
Ni kawaida kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo. Huwa naona kama hizi omeprazole zinatuliza tu. Binafsi nina tatizo hili na nimeamia kwenye miti Shamba na hali ina improve vizuri tu.
 
Mkuu hospital nilipewa dozi ya siku 10, so kwa miezi mitatu ilibidi ninunue pharmacy
 
Ni kawaida kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo. Huwa naona kama hizi omeprazole zinatuliza tu. Binafsi nina tatizo hili na nimeamia kwenye miti Shamba na hali ina improve vizuri tu.
Miti shamba ipi nisaidie kaka
 
Pole sana, acha kula vyakula vifuatavyo,
Maharage,chai ya rang, viazi vitamu, ndizi hasa za kuchemsha,pombe aina yeyote, soda, chipsi,pili pili,nk kidogoooo itakusaidia kupunguza tatizo la muamivu
Hapo kwenye pombe mleta mada na yeyote anayejihisi kuugua vidonda vya tumbo atakaepita kwenye huu uzi inapaswa apazingatie sana.

26/04 mwaka huu tulimzika workmate wetu kwa haya maradhi na mwisho wa mateso yake alikiri kutokutii masharti hasa hapo kwenye pombe,ni hatari sana hii kitu nilikuwa sijawahi kufikiria vidonda vya tumbo vinauwa hadi niliposhuhudia kwa huyu jamaa,alikuwa na miaka 28 tu kilichosikitisha zaidi aliacha mke mwenye mimba na mtoto wa miaka 3.
 
Reaction ya vdonda vya tumbo hutofautiana kati ya mtu na mtu, but to tell ni kwamba vinampotezea mtu Nuru, have you ever tried heligo kit?
 
Pole sana kiongozi, hope umepona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…