terbinafine
Member
- May 11, 2020
- 35
- 42
Naomba kuuliza!! Jana baba yangu alidondoka gafla barabarani!! Baada ya kudondoka mdomo ulipinda!?mpovu yalitoka?!jasho jingiii??!hakawa haongei!! Hadi tunamfikisha Amana?!! Baada ya kupima akaambiwa alikua na sukari 23 mwilini!
Pole!Vidonda vya tumbo (Peptic ulcers) vinasababishwa na bacteria wanaoitwa Helicobacter pylori ( H. pylori) . Hao ndio wanaosabaisha vidonda vya tumbo. Unawapata kwa njia ya kunywa maji na kula vyakula vyenye bakteria hao. Dawa ni Atibiotics (km Amoxillin) pamoja na Metronidazole ukichanganya na Omeprazole.
Maelezo hayajitoshelezi. Umeugua kwa muda gani? Umewahi kwenda kufanya vipo?Habari zenu wakuu,
Straight to the point nasumbuliwa na madonda ya tumbo sana kila nikila Tumbo linawaka sana nimetumia Anti acids bila mafanikio yoyote naombeni msaada wa dawa za kienyeji maybe zitanisaidia.
Thanks in advance wakuu