Mkuu nimeshatumia sana dawa as hospital yaani tafrani tu ndo maana nimekuja humuHospitali hupajui.?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nimeshatumia sana dawa as hospital yaani tafrani tu ndo maana nimekuja humuHospitali hupajui.?
Dawa gani umetumia?Mkuu nimeshatumia sana dawa as hospital yaani tafrani tu ndo maana nimekuja humu
Omeprazole , tripple therapyDawa gani umetumia?
Pesa kiasi gani? Na hospital gani ipo vizuri kiongozi nipo dar es salamMkubwa huo ugonjwa utengee pesa lakini kama unaenda hizo hospitality za kijiji soon utamfuata Jengua
Omeprazole, tripple therapyDawa gani umetumia?
Haya sio majibu ya kiungwana hata kidogo mkuu.Hospitali hupajui.?
Mkuu shukrani sana, ntashukuru sana ukinifahamisha huo mti, samahani pia upo mkoa gani?Haya sio majibu ya kiungwana hata kidogo mkuu...
Mwanza mkuuMkuu shukrani sana, ntashukuru sana ukinifahamisha huo mti, samahani pia upo mkoa gani?
Mkuu samahani kama hutojari nipatie namba yako tuwasiliane , asante sanaMwanza mkuu
Mkuu huwa sitoi number kupitia humu,tuwasiliane kupitia pm tu,hivyo kama kuna hitaji la kuwasiliana na Mimi ni bora tukatumia njia ya private messages,Mkuu samahani kama hutojari nipatie namba yako tuwasiliane , asante sana
Acha kumtisha mtotoMkubwa huo ugonjwa utengee pesa lakini kama unaenda hizo hospitality za kijiji soon utamfuata Jengua
Mkuu pole sana kwa hayo maradhi yako ukitumia dawa zetu za asili unaweza kupona maradhi yako.Lakini kwa dawa za hospitali sio rahis kupona vidonda vya tumbo.Habari za huku waungwana, ninasumbuliwa sana na vidonda vya tumbo mwenye kufahamu tiba au ushuri natanguliza shukrani
Mkuu mzizimkavu unapatikana wapi? Nawezaje kupata tiba zenu za asili ?Mkuu pole sana kwa hayo maradhi yako ukitumia dawa zetu za asili unaweza kupona maradhi yako.Lakini kwa dawa za hospitali sio rahis kupona vidonda vya tumbo.
Anapatikana wapi huyo mamaPole Sana
Kuna m'mama wa kihaya namfahamu anauza dawa ya kienyeji ilimsaidia dada na wifi yangu..ukihitaji namba zake niambie