Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Fanya haya:

1. Tumia Omeprazole kwa muda wa mwezi mmoja au miwili. Kidonge kimoja asubuhi na kimoja jioni.

2. Acha kula vyakula vya asidi kama pilipili, limao, nyanya, maembe mabichi n.k

3. Usinywe Coca, pepsi wala caffeine kama kahawa na energy drinks

4. Tumia vyakula vya mchuzi badala ya kukaanga au kuchoma mfano nyama au samaki.

5. Usishinde na njaa muda mrefu.

UKIFANYA HAYO UTAKUJA KUNISHUKURU.
 
Hospitali hupajui.?
Haya sio majibu ya kiungwana hata kidogo mkuu.

Mtoa maada nakupa pole kwa yanayokusibu,hata mimi ni mhanga wa hilo tatizo japo mimi nina unafuu sana,hivyo unafuu huu nilionao na kutoka na matumizi ya mlonge


Lakini kwa sasa hivi nina maandalizi ya kuaandaa dawa ya madonda ya tumbo kwa kutumia mti ambao jina lake kitaalamu sirijui ili nikipata muda nitakutumia picha ya mmea huo ili ujitibie.
 
Mkuu samahani kama hutojari nipatie namba yako tuwasiliane , asante sana
Mkuu huwa sitoi number kupitia humu,tuwasiliane kupitia pm tu,hivyo kama kuna hitaji la kuwasiliana na Mimi ni bora tukatumia njia ya private messages,
 
Habari za huku waungwana, ninasumbuliwa sana na vidonda vya tumbo mwenye kufahamu tiba au ushuri natanguliza shukrani
Mkuu pole sana kwa hayo maradhi yako ukitumia dawa zetu za asili unaweza kupona maradhi yako.Lakini kwa dawa za hospitali sio rahis kupona vidonda vya tumbo.
 
Mkuu pole sana kwa hayo maradhi yako ukitumia dawa zetu za asili unaweza kupona maradhi yako.Lakini kwa dawa za hospitali sio rahis kupona vidonda vya tumbo.
Mkuu mzizimkavu unapatikana wapi? Nawezaje kupata tiba zenu za asili ?
 
Habarini wakuu...

Ni kwa muda wa miezi 3 toka nifamike ni madonda ya tumbo, lakini kabla sijafahamu nilikuwa nakula chakula cha aina yeyote ile,

Toka nifahamike nina madonda hile vyakula imekuwa shida kabisa kula ikiwemo dagaa,maharage,na vitu vichachu lakini sasa hivi nikila nateseka sana.

Hospitali niliandikiwa dawa sema nimeisahau jina ila nilinunua 35 elfu doz ya wiki moja, lakini haikunisaida bdo

Msaada anayejua dawa hata ya kienyeji anisaidie..
 
Pole Sana
Kuna m'mama wa kihaya namfahamu anauza dawa ya kienyeji ilimsaidia dada na wifi yangu..ukihitaji namba zake niambie
 
Back
Top Bottom