Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Poleni wahanga wa tatizo la vidonda vya tumbo

Dawa ya vidonda ipo ni ya kienyej imetengenezwa kwa majani na asali yameviringishwa na kuwa na umbo la golori na inatibu kwa siku NNE tu siku ya tano ruksa kula chochote.

Dozage: 5x3 kwa siku 4


Natoa ofa kwa mmoja tu ili aje alete ushuhuda umu.

Huwa napatkana Geita ila kwa sasa +243 811 176 110 karibuni

NB: Ila iwe imethibitika ni vidonda vya tumbo kweli



Shukran.
 
N
ilipomuoa mama yako alikuwa na tatizo kama hili. Bila maziwa halali. Sasa ni takribani miaka 30 tatizo limebaki historia. Ameisha hata sahau. Mie nilitumia nyanya na karoti na maji mengi na tatizo lilipoteza right away. Wengine ukiwambia wale nyanya wanakuona kama chizi wakisema zina gesi. Jaribu ukishindwa acha ili hiyo ndo dawa niliyotumia. Naamini ushauri huu utakusaidia. Nangojea feedback.
 
Naomba ufafanuzi hii unatumiaje na kwa muda gani hasa?
 
Upo mkoa gani nitafute dm hata mimi nilikuwa kama wewe lakini nimepona pole sana
 
Dawa ya vidonda vya tumbo ipo japo ni ngumu kuamini hata mimi nimeteseka kwa muda mrefu sa ivi niko fresh nitafute dawa unakunywa mara moja tu
 
Achana na matapeli wa kienyeji, nenda hospitali muombe daktari wako akupe tiba inaitwa triple therapy, utapona!
Hapana mkuu kweli matepeli wapo mengine ni kweli mimi ni mmoja wapi nilisumbuliwa na gesi kwa sa ivi namepona nimetumia dawa ya kienyeji uwezi amini
 
Dawa ya vidonda vya tumbo ipo japo ni ngumu kuamini hata mimi nimeteseka kwa muda mrefu sa ivi niko fresh nitafute dawa unakunywa mara moja thio

Upo mkoa gani nitafute dm hata mimi nilikuwa kama wewe lakini nimepona pole sana
Mm Niko kenya nimeumia nmechoka namba yangu hii mr bons nitumie ujumbe uniambie ww ni kutoka jamii forum nitaelewa kwa haraka tuongee +254714052124
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…