Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Okay kuna Mizizi flani hivi ukitumia ina matokeo mazuri, hata kwa wale wasio ruhusiwa kula baadhi ya vyakula ila akitumia hiyo dozi imeleta matokeo chanya kabisa… Tumebarikiwa Miti tuitumie… ntakutajia jina ila hapa nalijua jina la huo mti kwakilugha ndo natafuta kiswahili chake
Sawa mkuu
 
Nafikiri wanasema hhayafai kwa ajili ya umengenyaji wake (hasa kwa mtu ambaye tumbo lake linamgogoro) unachukua muda sasa ule muda mrefu wa kumengenywa tumbo linakuwa tayari limetengeneza gesi kitu ambacho kitazidi kusumbua kama unavidonda.
Mimi nina vidonda tatizo linakuja kwenye lishe yaani chakula kuanzia asubuhi mchana mpaka usiku. Mfano kifungua kinywa nitumie kipi maana vingi ni ngano na ngano ni shida kwa vidonda vya tumbo so hata utumie dawa aina gani kama lishe hujui ule nini ni shida kwa upande wa vinywaji naweza acha vyote kasoro maji tuu. Sasa upande wa chakula tutumie chakula kipi na kipi kuanzia asubuhi mpaka usiku hilo ndiyo swali langu naombeni msaada kwa hili.
 
Mimi ninavyo hadi nilifikia hatua ya kulazwa, lakini hadi sasa sichagui chakula. Liwe kande, pilipili, harage vyote napitia tu. Tatizo la watu wengi wakishaambiwa kuwa wana ugonjwa huo, basi huishi kwa hisia za hofu tu! Hebu jaribu kuishi kama haunavyo uone! na kama unazidiwa sana meza bilauli ya maziwa.
Dawa gani ulitumia ukapona mkuu ?!
 
Wakuupoleni kwa maradhi ya vidonda vya tumbo visivyo weza kutibika Ma-Hospitalini kwa anaye haya maradhi ya Vidonda vya tumbo na anataka apone kabisa na aweze kula vyakula vyovyote anitafute Mimi kwa wakati wake ili niweze kumtibia na aweze kupona maradhi yake uguweni pole ninawatakia asubuhi pamoja na siku njema kwa wote .
 
Nyie watu mjue kuna wagonjwa humu na mgonjwa yupo tayari kula hata kinyesi ili mradi tu apone. Angalieni mkojo ni kitu gani hapa chini




Urine is composed of fluid and waste products that your body doesn’t need. Your kidneys work as filters, removing excess water and cellular byproducts from the bloodstream. This waste is sent down to the bladder as urine.

Water makes up 91 to 96 percentTrusted Source of your urine. The rest is made from salts, ammonia, and byproducts produced during normal body processes.

Your urinary tract extends from your kidneys to your urethra. You have two kidneys, one on each side of the body. The kidneys send urine down to the bladder through two muscular tubes called ureters. When your bladder is full, nerve endings send a signal to your brain that it’s time to find a bathroom.

When you empty your bladder, urine exits the body through a small tube called the urethra. The urethra is home to some types of bacteria. Normally, these bacteria don’t cause any problems, unless they grow out of control. ResearchTrusted Source on urine composition, however, shows that these bacteria can contaminate urine as it exits the body.
 
Mimi natibu haya mavindonda natibu Sina mambo mengi piga namba 0679260271
 
Sasa uwahi hospital mkuu, historia yako ya ugonjwa hio hali umeanza ghafla tu au ni wa muda mrefu?

Na je hivyo vidonda umeviona kweli huko tumboni au umejitungia tu mwenyewe ugonjwa?

Pole sana Mkuu
 
Nasubiria maelezo yako yaliyoshiba tukupe msaada maana maelezo hayatoshi hayo
 
Ni mda mrefu hospitalini nimeenda mara nyingi sijapata dawa ambayo imetatua hili tatizo
Tangu lini mda mrefu hata Jana ni mda mrefu, Mwaka au Mwezi? Funguka Mkuu jikaze tumeumbiwa maradhi km hujielezi unasaidiwaje sasa?
 
Alifanyiwa uchunguzi au ni yeye ndo kaona kwamba ana vidonda vya Tumbo?
Kwanini unasema una vidonda vya Tumbo?
Kipi kimekufanya uone kama una vidonda vya Tumbo?
Umewahi kutibiwa?
Ni dawa gani unatumia?
Dalili zipi zina ashiria ukaona lazma itakuwa una vidonda??
jameshyela
 
Back
Top Bottom