KUKU_UFUGAJI
JF-Expert Member
- Nov 4, 2016
- 857
- 1,727
Sawa mkuuOkay kuna Mizizi flani hivi ukitumia ina matokeo mazuri, hata kwa wale wasio ruhusiwa kula baadhi ya vyakula ila akitumia hiyo dozi imeleta matokeo chanya kabisa… Tumebarikiwa Miti tuitumie… ntakutajia jina ila hapa nalijua jina la huo mti kwakilugha ndo natafuta kiswahili chake
Mimi nina vidonda tatizo linakuja kwenye lishe yaani chakula kuanzia asubuhi mchana mpaka usiku. Mfano kifungua kinywa nitumie kipi maana vingi ni ngano na ngano ni shida kwa vidonda vya tumbo so hata utumie dawa aina gani kama lishe hujui ule nini ni shida kwa upande wa vinywaji naweza acha vyote kasoro maji tuu. Sasa upande wa chakula tutumie chakula kipi na kipi kuanzia asubuhi mpaka usiku hilo ndiyo swali langu naombeni msaada kwa hili.Nafikiri wanasema hhayafai kwa ajili ya umengenyaji wake (hasa kwa mtu ambaye tumbo lake linamgogoro) unachukua muda sasa ule muda mrefu wa kumengenywa tumbo linakuwa tayari limetengeneza gesi kitu ambacho kitazidi kusumbua kama unavidonda.
dawa gani alipewa sasa ?!mama yangu kaugua miaka 17 alikuwa wa kufa nilimpeleka peramio hosp alipewa dawa za miezi mitatu kapona mpaka leo ni miaka 11 imepita
Dawa gani ulitumia ukapona mkuu ?!Mimi ninavyo hadi nilifikia hatua ya kulazwa, lakini hadi sasa sichagui chakula. Liwe kande, pilipili, harage vyote napitia tu. Tatizo la watu wengi wakishaambiwa kuwa wana ugonjwa huo, basi huishi kwa hisia za hofu tu! Hebu jaribu kuishi kama haunavyo uone! na kama unazidiwa sana meza bilauli ya maziwa.
Ni mda mrefu hospitalini nimeenda mara nyingi sijapata dawa ambayo imetatua hili tatizoSasa uwahi hospital mkuu, historia yako ya ugonjwa hio umeanza ghafla tu au Ni wa muda mrefu?
Tangu lini mda mrefu hata Jana ni mda mrefu, Mwaka au Mwezi? Funguka Mkuu jikaze tumeumbiwa maradhi km hujielezi unasaidiwaje sasa?Ni mda mrefu hospitalini nimeenda mara nyingi sijapata dawa ambayo imetatua hili tatizo
Toka mwaka 2015
Toka mwaka 2015
Subiria hapo hapo wanakuja kukupa mwongozoToka mwaka 2015
Alifanyiwa uchunguzi au ni yeye ndo kaona kwamba ana vidonda vya Tumbo?
jameshyelaAlifanyiwa uchunguzi au ni yeye ndo kaona kwamba ana vidonda vya Tumbo?
Kwanini unasema una vidonda vya Tumbo?
Kipi kimekufanya uone kama una vidonda vya Tumbo?
Umewahi kutibiwa?
Ni dawa gani unatumia?
Dalili zipi zina ashiria ukaona lazma itakuwa una vidonda??