The secretary
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 4,148
- 2,537
Hivi ni kweli hakuna tiba kwa wanaumwa vidonda vya tumbo?
na je dawa zipi ni best?
na huyu DR Rahabu tiba yake ikoje?
wapo waliopona?
gharama zake?
Na kuna mtu anaejua tiba zingine za vidonda vya tumbo?
au maelezo yeyote ya kusaidia?
huyo mama anawaibia watu bila kujitambua,na sio kwamba nawalaumu!mi ni shuhuda kwani mwaka 2009,nilikwenda oficn kwake pale buguruni,akanipa dawa kwenye madumu ya lita 5,na mashariti kibao ya vyakula nikayafuatilia,miezi 4 mi ni m2 wa kula vyakula visivyoeleweka(chukuchuku),na gharama yake c mchezo!sikuona unafuu wowote,nikamfuata akaniambia yeye c mungu,eti inaonekana sikuwa namtanguliza mungu ninapoinywa!nikaona ndio wale wale wa loliondo!hamna ki2 pale ni utapeli tu.
Nieleze kwa ninavyojua.
Ni kweli Rahabu sio Dr. wa kusomea yaana MD lakini sheria za afya zinaruhusu waganga wa tiba mbadala kutumia jina la Daktari.
Rahabu huwa anajitangaza kwamba tiba zake zimethibitishwa na kitengo cha tiba mbadala Muhimbili.
Kuhusu matibabu, mimi ni shuhuda, nilitumia dawa yake nikapona. Ni muda kidogo, mwaka 2009. Ila tatizo la Rahabu ni bei. Nililipa tu kwa kuwa nilishasumbuka sana. Kwa wakati huo dozi ilikuwa ni 180,000/- sijui sasa maana jina lake limekuwa hivyo inaweza kuwa juu sana.
Hivi ni kweli hakuna tiba kwa wanaumwa vidonda vya tumbo?
na je dawa zipi ni best?
na huyu DR Rahabu tiba yake ikoje?
wapo waliopona?
gharama zake?
Na kuna mtu anaejua tiba zingine za vidonda vya tumbo?
au maelezo yeyote ya kusaidia?
Bwana weeh, nenda hospitali kama unaumwa. Drs wanapataga feedback za wagonjwa wao. Kama kuna dawa mbadala watakuelekeza. Japo naamini dawa za hospitali zinasaidia. Nikiwa chuo (kitambo kiasi), nilipatwa na chembe ya moyo. Nilipewa dawa za mwezi mzima, na zikanisaidia sijaumwa tena!

Yani hadi alipewa likizo ya ugonjwa miezi 3 na masharti hadi nilikuwa namuonea huruma we hata ukibisha upo kibiashara zaidi bora mtu aniambie tiba mbadala ya matunda au mti asilia maana najua mwili utapata faida lakini hizo chemical equation zenu sina mpango nazo

Ukitaka msaada unasaidiwa unaanza kuweka ? na -ve nyingi sasa ielewekeje?
Mgonjwa wewe, dakatari wewe, mbishi wewe, hata sijui utasaidiwaje.
Naamini huyo mama yako naye alikuwa mjuaji kama wewe ndio maana hakupona. Sasa kama unataka kujitibu kwa matunda unaomba ruksa ya nini?
Kama hutaki chemical equation anza sasa kula matunda kama unavyotaka, kula madafu 3 kwa siku kwa siku 40 kisha anza mapera, sita kila siku kwa siku 9 bila kuacha, ukimaliza anza kula kungu na miwa...hovyo!
hebu nitajie sheria inayowaruhusu waganga wa kienyeji kujiita dr, pili watu wengi hwawaugui vidonda vya tumbo bali huwa ni hisia zao tu. ndio maana hutakiwa kupima kipimo kimoja cha kumeza mpira ambao unaonesha kila kitu ndani ya tumbo kwa namna ya video. mm nilikuwa na jamaa yangu ambaye ameishi kwa miaka yote akijua na vidonda vya tumbo lkn siku moja alipoenda kupima kwa kipimo hicho akaambiwa tumbo lake linazalisha gesi sana na hana vidonda vya tumbo
mm niliyekuambia nayajua haya na ushahidi upo hata kuhusu rahabu
kiasili dawa zote zinatokana na miti, unaweza kunywa mzizi/kutafuna mzizi wa mti ukashangaa unatokwa jasho au unapona. hivi unajua kwann Mti wa Muarobaini unaitwa hivo
nawashauri achaneni na suala hilo la rahabu atawapoteza na mtaangamia, ni mmfanyabiashara tu
kwani mimi nimeomba msaada?aliyeanzisha thread humuoni?
Hivi ni kweli hakuna tiba kwa wanaumwa vidonda vya tumbo?
na je dawa zipi ni best?
na huyu DR Rahabu tiba yake ikoje?
wapo waliopona?
gharama zake?
Na kuna mtu anaejua tiba zingine za vidonda vya tumbo?
au maelezo yeyote ya kusaidia?
Nini ushauri wako kwa mwanajamii mwenye tatizo?