Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Red Giant na MpangoA inategemea imeathiri sehemu ipi na kwa muda gani mama ana miaka 26 umri wangu anasumbuliwa na ulcers masharti kafuata hapa mtu hata aniambiaje kuwa ni kutofata masharti sitamkubalia hiyo flagyl ndio iliyomtibulia
 
Ahsanteni wataalamu wa utabibu, nimefaidika kwani nami ni muathirika mkubwa wa ugonjwa huo pasipo ahueni
 
Hivi ni kweli hakuna tiba kwa wanaumwa vidonda vya tumbo?

na je dawa zipi ni best?

na huyu DR Rahabu tiba yake ikoje?

wapo waliopona?

gharama zake?

Na kuna mtu anaejua tiba zingine za vidonda vya tumbo?

au maelezo yeyote ya kusaidia?

Tumia madawa ya Dynapharm. Niko nchi za mbali lakini hata hivyo ni pm
 
huyo mama anawaibia watu bila kujitambua,na sio kwamba nawalaumu!mi ni shuhuda kwani mwaka 2009,nilikwenda oficn kwake pale buguruni,akanipa dawa kwenye madumu ya lita 5,na mashariti kibao ya vyakula nikayafuatilia,miezi 4 mi ni m2 wa kula vyakula visivyoeleweka(chukuchuku),na gharama yake c mchezo!sikuona unafuu wowote,nikamfuata akaniambia yeye c mungu,eti inaonekana sikuwa namtanguliza mungu ninapoinywa!nikaona ndio wale wale wa loliondo!hamna ki2 pale ni utapeli tu.
 
Unaona eeh yani we acha tu.
 
Pole sana mkuu, we nenda hospitali na fuata masharti ya hospitali. Epuka hao wanaofanyia biashara afya za watu kwa kuita tiba mbadala tafadhali achana na hizo kamari kabisa.
 
Nieleze kwa ninavyojua.

Ni kweli Rahabu sio Dr. wa kusomea yaana MD lakini sheria za afya zinaruhusu waganga wa tiba mbadala kutumia jina la Daktari.

Rahabu huwa anajitangaza kwamba tiba zake zimethibitishwa na kitengo cha tiba mbadala Muhimbili.

Kuhusu matibabu, mimi ni shuhuda, nilitumia dawa yake nikapona. Ni muda kidogo, mwaka 2009. Ila tatizo la Rahabu ni bei. Nililipa tu kwa kuwa nilishasumbuka sana. Kwa wakati huo dozi ilikuwa ni 180,000/- sijui sasa maana jina lake limekuwa hivyo inaweza kuwa juu sana.

hebu nitajie sheria inayowaruhusu waganga wa kienyeji kujiita dr, pili watu wengi hwawaugui vidonda vya tumbo bali huwa ni hisia zao tu. ndio maana hutakiwa kupima kipimo kimoja cha kumeza mpira ambao unaonesha kila kitu ndani ya tumbo kwa namna ya video. mm nilikuwa na jamaa yangu ambaye ameishi kwa miaka yote akijua na vidonda vya tumbo lkn siku moja alipoenda kupima kwa kipimo hicho akaambiwa tumbo lake linazalisha gesi sana na hana vidonda vya tumbo

mm niliyekuambia nayajua haya na ushahidi upo hata kuhusu rahabu

kiasili dawa zote zinatokana na miti, unaweza kunywa mzizi/kutafuna mzizi wa mti ukashangaa unatokwa jasho au unapona. hivi unajua kwann Mti wa Muarobaini unaitwa hivo

nawashauri achaneni na suala hilo la rahabu atawapoteza na mtaangamia, ni mmfanyabiashara tu
 
Hivi ni kweli hakuna tiba kwa wanaumwa vidonda vya tumbo?

na je dawa zipi ni best?

na huyu DR Rahabu tiba yake ikoje?

wapo waliopona?

gharama zake?

Na kuna mtu anaejua tiba zingine za vidonda vya tumbo?

au maelezo yeyote ya kusaidia?

Wakati nakwenda kwa Dr Rahabu nilikuwa Serious, nikitokea Mikocheni Hospital nilikokuwa napata matibabu na ndiko nilikopata ushauri wa kujaribu dawa kwa Rahabu.

Kabla ya kuanza matibabu Rahabu alinihoji vipimo toka hospital na alitaka ajue ni aina gani ya vidonda nilivyonavyo.
Alinipa Dawa ambayo ni ya maji iko kwenye galon la lita 5. Niliambiwa natakiwa kunywa magalon 8 kwa kiasi cha shilingi 280,000. Nilipewa mashart ya vyakula nitakavyotumia katika kipindi chote cha matibabu. Nilifata masharti yote na nikapona.

Wakati huo nilikutana na wagonjwa wengine ambao nao waliendelea kutumia dawa lakini waliniambia dawa ile haikuwasaidia. Katika uchunguzi wangu nikagundua Dawa inayotolewa na Dr. Rahabu haiwasaidii wagonjwa wote, sielewi ni kwa nini na kuna wengine walidaiwa kufa wakiwa katikati ya dozi.
 
Bwana weeh, nenda hospitali kama unaumwa. Drs wanapataga feedback za wagonjwa wao. Kama kuna dawa mbadala watakuelekeza. Japo naamini dawa za hospitali zinasaidia. Nikiwa chuo (kitambo kiasi), nilipatwa na chembe ya moyo. Nilipewa dawa za mwezi mzima, na zikanisaidia sijaumwa tena!
 
King'asti msaada wa hiyo dawa ya chemba moyo. baba anayo
 
Bwana weeh, nenda hospitali kama unaumwa. Drs wanapataga feedback za wagonjwa wao. Kama kuna dawa mbadala watakuelekeza. Japo naamini dawa za hospitali zinasaidia. Nikiwa chuo (kitambo kiasi), nilipatwa na chembe ya moyo. Nilipewa dawa za mwezi mzima, na zikanisaidia sijaumwa tena!

hizi tiba mbadala ulaghai mtupu bora za MziziMkavu najua huu ni mti au tunda fulani na linanipa faida mwilini wenzangu na miye kazi kuwekewa majani ya mgomba na majivu unaambiwa food suppliment wizi mtupu.
 
Yani hadi alipewa likizo ya ugonjwa miezi 3 na masharti hadi nilikuwa namuonea huruma we hata ukibisha upo kibiashara zaidi bora mtu aniambie tiba mbadala ya matunda au mti asilia maana najua mwili utapata faida lakini hizo chemical equation zenu sina mpango nazo

Ukitaka msaada unasaidiwa unaanza kuweka ? na -ve nyingi sasa ielewekeje?
 
Yani hadi alipewa likizo ya ugonjwa miezi 3 na masharti hadi nilikuwa namuonea huruma we hata ukibisha upo kibiashara zaidi bora mtu aniambie tiba mbadala ya matunda au mti asilia maana najua mwili utapata faida lakini hizo chemical equation zenu sina mpango nazo

Mgonjwa wewe, dakatari wewe, mbishi wewe, hata sijui utasaidiwaje.

Naamini huyo mama yako naye alikuwa mjuaji kama wewe ndio maana hakupona. Sasa kama unataka kujitibu kwa matunda unaomba ruksa ya nini?

Kama hutaki chemical equation anza sasa kula matunda kama unavyotaka, kula madafu 3 kwa siku kwa siku 40 kisha anza mapera, sita kila siku kwa siku 9 bila kuacha, ukimaliza anza kula kungu na miwa...hovyo!
 
We unakimbilia chooni bila kubanwa haja? hivi umechanganyikiwa? wapi nimeomba msaada? mtoa mada humuoni daima huwa sibadili msimamo wangu kwa kile ninachokiona ni kweli nimemuuguza mama mi nikiwa shuhuda mwenyewe masharti alivyoyafata halafu we chai jaba unaniletea longolongo.
 
hebu nitajie sheria inayowaruhusu waganga wa kienyeji kujiita dr, pili watu wengi hwawaugui vidonda vya tumbo bali huwa ni hisia zao tu. ndio maana hutakiwa kupima kipimo kimoja cha kumeza mpira ambao unaonesha kila kitu ndani ya tumbo kwa namna ya video. mm nilikuwa na jamaa yangu ambaye ameishi kwa miaka yote akijua na vidonda vya tumbo lkn siku moja alipoenda kupima kwa kipimo hicho akaambiwa tumbo lake linazalisha gesi sana na hana vidonda vya tumbo

mm niliyekuambia nayajua haya na ushahidi upo hata kuhusu rahabu

kiasili dawa zote zinatokana na miti, unaweza kunywa mzizi/kutafuna mzizi wa mti ukashangaa unatokwa jasho au unapona. hivi unajua kwann Mti wa Muarobaini unaitwa hivo

nawashauri achaneni na suala hilo la rahabu atawapoteza na mtaangamia, ni mmfanyabiashara tu

Ndugu yangu, mimi sio mwanasheria na sijasoma sheria zote za nchi hii. Hili ninalolisema kuwa waganga wa tiba mbadala wanaruhusiwa kutumia title ya Dr unaweza kujiridhisha kwa kuwasiliana na watu wa afya. Ndio maana watu mbalimbali wenye huduma za afya wanatumia hii title na wala sijasikia wizara ya afya wakiongea kinyume, ilimradi tu huduma zao ziwe zimepewa leseni. Hapa naomba usichanganye uganga na ushirikina maana hata msimamizi mkuu wa afya nchini anaitwa Mganga Mkuu wa Serikali.

Kuhusu watu kutougua vidonda vya tumbo inaweza kuwa ni kweli ila kwangu mimi nilikuwa navyo, nimefanya vipimo zaidi ya hospitali 3 tena kubwa. Mimi ni msomi siwezi kukuruputa kwenye afya yangu, ila tu tiba za hospitali hazikunisaidia.

Kuhusu ufanya biashara, ni kweli huyu dada ni mfanya biashara na kwa sababu jina lake limekuwa tiba zake ni aghari. Na hili nimelisema wazi kwenye mchango wangu kwamba kwa wakati ule, 2009, ilikuwa ni 180,000/-.
 
Hivi ni kweli hakuna tiba kwa wanaumwa vidonda vya tumbo?

na je dawa zipi ni best?

na huyu DR Rahabu tiba yake ikoje?

wapo waliopona?

gharama zake?

Na kuna mtu anaejua tiba zingine za vidonda vya tumbo?

au maelezo yeyote ya kusaidia?

The Boss inabidi kutumia utashi wako katika kuchanganua maelezo mbalimbali ya watu ili uweze kupata ni nani wa kumfuata kiushauri. Nasema hivyo kutokana na wengi kuwa na mitizamo tofauti na hiyo ni kawaida ya binadamu. Shukrani
 
Nashukuru sana kwa waliotoa maoni chanya na wengi wameweza kufaidi kwa ushauri pia nawakaribisha wengine wengi bado wanaohitaji kutoa maoni.
 
Back
Top Bottom