DR Joshua Lawrence
Member
- Jun 21, 2013
- 21
- 7
Moja ya tafiti zilizofanikishwa na jopo letu la utafiti wa tiba mbadala ni i katika eneo la tiba ya vidonda vya tumbo. Kwa wale wote wenye tatizo hilo wasisite kuwasiliana nasi kupitia www.drjoshualawrence.blogspot.com atasaidiwa mara moja. kwani tunayo dawa ambayo dozi yake ni siku tatu tu
Moja ya tafiti zilizofanikishwa na jopo letu la utafiti wa tiba mbadala ni i katika eneo la tiba ya vidonda vya tumbo. Kwa wale wote wenye tatizo hilo wasisite kuwasiliana nasi kupitia www.drjoshualawrence.blogspot.com atasaidiwa mara moja. kwani tunayo dawa ambayo dozi yake ni siku tatu tu
Rafiki yangu, nimeandika kuwa dozi inatumika siku tatu tu, soma vizuri maelezo hayo. lakini, pia, hiyo natharia yako ya kuwa vidonda vya tumbo haviwezi kutibika kwa siku tatu ina makengeza ya kiutafiti! Nakukaribisha ili uweze kuifanyia utafiti dawa hiyo, maana kuna madaktari wengi waliokuwa na wasiwasi lakini baada ya kuifanyia utafiti kwa wagonjwa wakaziba vinywa vyao!
Nyie madokta mnaobishana hapo juu, tupeni ushuhuda wa urine thelapy je ni kweli inatibu vidonda vya tumbo pia?
Pia epuka kula maharagwe na mboga za kuungwa kwa nyanya.
Heshima kwenu wakuu.
Nasumbuliwa na vidonda vya tumbo na nimejigundua week sasa.ila sina raha tumbo linauma sana ila nikinywa maziwa ya baridi linapoa na kuna dawa Omeprazole nikinywa pia linapoa.
sasa wakuu naomba kama kuna mtu anajua matibabu ya hii maneno anisadie.
maana kwa kusema tu ule ukweli mimi ninapenda sana beer na haya maisha ya kunywa dawa kila siku siyawezi.
Najua hili tatizo lazima lishajadiliwa hapa.
CC. Mzizi mkavu
Kama unaamini miti shamba ni-pm tatizo lako litaisha ndani ya wiki moja ila njoo na vyeti vyako
MARADHI YA VIDONDA VYA TUMBO (ULCERS): Haya ni maradhi ambayo hufanya vidonda upande wa ndani ya ukuta wa tumbo. Kuna Duodenal ulcer na Gastric ulcer. DALILI: (1) Kupata maumivu makali chini ya kifua kwaupande wa ndani. (2) Kuchoka bila sababu. (3) Kuumwa kwa mgongo au kiuno. (4) Kupungua kwa nguvu za kiume. (5) Kuwa na
kichefuchefu baadhi ya wakati. (6) Kuwa na kiungulia . (7) Tumbo kujaa gesi. (8) Tumbo kuwaka moto. (9) Kukosa choo na wakati mwingine kupata choo kigumu kama cha mbuzi. (10) Kukosa hamu ya kula. (11) Kutapika damu au wakati mwingine
kutapika nyongo. (12) Maumivu makali baada ya kula vitu vikali au chakula cha moto.
TIBA: Kanuni ya kwanza: Chukua asali robo lita uchanganye na unga wa arki susi vijiko vinne vikubwa kisha ukoroge kwa mchanganyiko huu ukoroge ndani ya kikombe cha maji ya moto. Yakishapoa unywe kikombe kimoja kutwa mara tatu.
Kanuni ya pili: Chukua viazi vya mviringo (vya chipsi) kama vitatu halafu uvikoshe na kuvimenya. Baada ya kuvimenya upate juisi yake kwa kuvisaga kwenye blenda. Kunywa vijiko vitatu vikubwa vya chakula kutwa mara mbili.
Kanuni ya tatu: Chukua lozi gramu 30 halafu usage iwe unga. Changanya lozi hii yote ndani ya kikombe kidogo cha maziwa ya moto kisha uongeze asali vijiko viwili vikubwa. Kunywa kikombe kimoja robo saa kabla ya kula chakula cha asubuhi. Fanya hivyo kwa muda wa mwezi na utapata shifaa.
Chaguwa Moja kati ya hizi dawa itakayo kuwa ni kwako rahisi kuitumia na kuipata Uguwa pole. Usikose kunipa feedback.