Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,287
mwaka mzima unakunywa hizo acid inhibitors aah wapi?hiyo regiment siyo.Tumia Rabeprazole, amoxicillin (siku tano), then endelea na rabeprazole, clarithromycin, tinidazole kwa siku tano tena. Baada ya hapo unaweza kumeza omeprazole kwa muda wa mwaka mmoja huku ukifuata mashart mengine. I can assure you that it is effective for 94%.
Matibabu ya vidonda vya tumbo ni ndani ya siku14 tu.kisha unastop kwa mda kama bado unaanza upya ,