Wadau ninasumbuliwa na vidonda vya tumbo kwa wiki Ya pili Sasa na maumivu yake hayavumiliki, nimeenda hospitali nimeishia kupewa antacid lakini hali ndo imezidi kuwa mbaya kuna ndugu aliniambia juice Ya kabeji inasaidia nayo nimejaribu lakini bado nafuu sijaipata naombeni ushauri kwa madaktari waliomo humu nifanye nini ili niweze kupima kabisa tatizo hili. Naombeni Kuwasilisha.
...maombi...
Pole sana mkuu,dawa ya vidonda vya tumbo tena kwa wewe ambaye ndio vinaanza ni maziwa fresh + Asali.chukua maziwa yaliyochemka yakapoa kidogo(ya uvuguvugu) nusu lita weka kijiko kimoja (table spoon) kwa wiki moja tu. UTAPONA. nilifanya hivyo vikaisha KABISA kwani vilinianza na pia nimezoea kutumia asali inasaidia sana mkuu.Wadau ninasumbuliwa na vidonda vya tumbo kwa wiki Ya pili Sasa na maumivu yake hayavumiliki, nimeenda hospitali nimeishia kupewa antacid lakini hali ndo imezidi kuwa mbaya kuna ndugu aliniambia juice Ya kabeji inasaidia nayo nimejaribu lakini bado nafuu sijaipata naombeni ushauri kwa madaktari waliomo humu nifanye nini ili niweze kupima kabisa tatizo hili. Naombeni Kuwasilisha.
pole ndugu, mimi nina two years now nasumbuliwa sijapa dawa, kila dawa nifake tu
...maombi...
well spoken
Wengine wanasema blend parachichi na asali, wengine wanasema tafuna karanga mbichi 2×3 kwa siku. Nadhani the best option ni maombi.
nenda kwa Gwajima
Ninakupa Dawa ya Muda tumia hii kwa muda wa siku 7 usipopona nitafute kwa wakati wako dawa ninayo yaWadau ninasumbuliwa na vidonda vya tumbo kwa wiki Ya pili Sasa na maumivu yake hayavumiliki, nimeenda hospitali nimeishia kupewa antacid lakini hali ndo imezidi kuwa mbaya kuna ndugu aliniambia juice Ya kabeji inasaidia nayo nimejaribu lakini bado nafuu sijaipata naombeni ushauri kwa madaktari waliomo humu nifanye nini ili niweze kupima kabisa tatizo hili. Naombeni Kuwasilisha.
...neno lamsalaba kwa wanaopotea ni upuuzi mtupu, lakini kwetu sisi ni nguu ya Mungu iletayo wokovu...!Acheni kumdanganya mwenzenu huwezi pona vidonda vya tumbo kwa maombi.
Wadau ninasumbuliwa na vidonda vya tumbo kwa wiki Ya pili Sasa na maumivu yake hayavumiliki, nimeenda hospitali nimeishia kupewa antacid lakini hali ndo imezidi kuwa mbaya kuna ndugu aliniambia juice Ya kabeji inasaidia nayo nimejaribu lakini bado nafuu sijaipata naombeni ushauri kwa madaktari waliomo humu nifanye nini ili niweze kupima kabisa tatizo hili. Naombeni Kuwasilisha.
Upo wapi ndugu?... Kama upo karibu na Makambako au Njombe ningekuelekeza dawa free of charge.