Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Ni magonjwa gani yanayopona kwa maombi? Naomba utuorodheshee, na nani anaweza kuyaponya hayo utakayoorodhesha. Pengine ukiweza unaweza kuzungumza hayo yasiyoweza kupoona kwa maombi yanapona wapi?

Acheni kumdanganya mwenzenu huwezi pona vidonda vya tumbo kwa maombi.
 
Ni magonjwa gani yanayopona kwa maombi? Naomba utuorodheshee, na nani anaweza kuyaponya hayo utakayoorodhesha. Pengine ukiweza unaweza kuzungumza hayo yasiyoweza kupoona kwa maombi yanapona wapi?

Ngoja nimwite mchungaji Peter Msigwa aje atoe ufafanuzi.
 
Last edited by a moderator:
Wadau ninasumbuliwa na vidonda vya tumbo kwa wiki Ya pili Sasa na maumivu yake hayavumiliki, nimeenda hospitali nimeishia kupewa antacid lakini hali ndo imezidi kuwa mbaya kuna ndugu aliniambia juice Ya kabeji inasaidia nayo nimejaribu lakini bado nafuu sijaipata naombeni ushauri kwa madaktari waliomo humu nifanye nini ili niweze kupima kabisa tatizo hili. Naombeni Kuwasilisha.

Nakushauri utafute uzi mmoja jukwaa hilihili, kuna mtu alitoa ushuhuda wa dawa moja ya asili aliyoipata jijini mwanza, ukimpata atakupa mawasiliano ya mtaalamu aliyemuuzia hiyo dawa.
 
If you have a stomach ulcer, your treatment will depend on whether the cause is an H. pylori infection or non-steroidal anti-inflammatory drugs (NSAIDs) or both.

If your stomach ulcer is caused by an H. pylori infection, a course of antibiotics is recommended. This is known as eradication therapy because it will kill the bacteria.

If your stomach ulcer is caused by NSAIDs and you don't have a H. pylori infection, a one-to two-month course of proton pump inhibitors (PPIs) is recommended. Your use of NSAIDs will also need to be reviewed and an alternative painkiller, such as paracetamol, may be recommended.
If it's thought your stomach ulcer is caused by a combination of NSAID use and an H. pylori infection, you will be given a two-month course of PPIs and a course of antibiotics (eradication therapy).
An alternative type of medication, known as H2-receptor antagonists, is sometimes used instead of PPIs.
Eradication therapy
Eradication therapy involves taking a combination of two or three different antibiotics and a proton pump inhibitor (PPI), at the same time. Taking one antibiotic alone is insufficient to kill the bacteria. You will usually be asked to take each antibiotic twice a day for 7-14 days. The antibiotics most commonly used in eradication therapy are:
amoxicillin
clarithromycin
metronidazole
 
proton pump inhibitor si ndo zinajaribu kukata makali ya acid kitu ambacho unaweza kukifanya kwa kula vyakula vinaongeza alkali.
antibiotics nyingi hazimalizi tatizo la vidonda tumbo
 
Peter Msigwa ndiye aliyeandika hapa? Nakutaka wewe mwenyewe mtz daima uje ujibu hoja. . Wewe unaandika halafu unataka Peter Msigwa akujibie.

Ninaomba ujibu hoja yangu bila kupotezea!.

quote_icon.png
By Tabby
Ni magonjwa gani yanayopona kwa maombi? Naomba utuorodheshee, na nani anaweza kuyaponya hayo utakayoorodhesha. Pengine ukiweza unaweza kuzungumza hayo yasiyoweza kupoona kwa maombi yanapona wapi?

quote_icon.png
By mtz daima

Acheni kumdanganya mwenzenu huwezi pona vidonda vya tumbo kwa maombi.

Ngoja nimwite mchungaji Peter Msigwa aje atoe ufafanuzi.
 
Mkuu ulikuwa kidogo upatie hiyo dawa kwa kutunia viazi mbatata, ila umekosea part ndogo sana ya kumenya yaani umeharibu sana na hapo hakuna dawa ila umefanya chakula tu.

Dawa ni kama ulivoelekeza ukifika sehemu ya kumenya (HAUMENYI( unavisaga hivo hivo pasi kumenya ndipo matokeo mazuri yataonekana.

.
Ninakupa Dawa ya Muda tumia hii kwa muda wa siku 7 usipopona nitafute kwa wakati wako dawa ninayo ya

kuweza kukuponyesha Vidonda vya tumbo. Tumia hii Dawa kwanza:

Fanya hivi:
Chukua viazi vya mviringo (vya chipsi) kama vitatu halafu uvikoshe na kuvimenya. Baada ya kuvimenya upate juisi yake kwa kuvisaga kwenye blenda. Kunywa vijiko vitatu vikubwa vya chakula kutwa mara mbili kila siku asubuhi na jioni kabla ya kula kitu kunywa hiyo dawa kwa muda wa siku 7.

attachment.php

Juisi ya Viazi mbatata.

Usipopona kwa muda wa siku 7 Nitafute mimini nayo Dawa ya kuweza kukuponyesha Vidonda vya Tumbo ukihitaji dawa bonyeza hapa.Mawasiliano
 
Binafsi wasiliana na wadau hapo uone nini utapata msaada wa kupona na ila ukiona njia hizo zinatatiza ni pm ili tuonane nikupe njia muafaka ya kuondokana na tatizo hilo.
 
...neno lamsalaba kwa wanaopotea ni upuuzi mtupu, lakini kwetu sisi ni nguu ya Mungu iletayo wokovu...!
Kaka sio kila kitu ni maombi tu, Mchungaji Gwajima pamoja na unguli wake wa "kufufua watu" alishindwa kujiomnea wala kuomnewa na alikimbilia hospital

sio kila kitu ni maombi tu
 
Wanajanvi.salaam.
Nimejaribu kupia uzi uliopita kuhusu dawa ya vidonda vya tumbo,nimeaona nivema niwajulishe kwa atakae hitaji.

dawa hii inatibu kwa siku kumi pekee.
Ni dose 2 pekee.hata vikiwa vimekomaa sana kwa kupelekea mtu kuarisha damu,na pia ni dawa hii inatibu vidonda vya utumbo mpana(duodenal ulcers) na tumbo la kawaida(peptic ulcers)

bei ya dawa ni shs.200,000.tu.
 
Peter Msigwa ndiye aliyeandika hapa? Nakutaka wewe mwenyewe mtz daima uje ujibu hoja. . Wewe unaandika halafu unataka Peter Msigwa akujibie.

Ninaomba ujibu hoja yangu bila kupotezea!.

quote_icon.png
By Tabby
Ni magonjwa gani yanayopona kwa maombi? Naomba utuorodheshee, na nani anaweza kuyaponya hayo utakayoorodhesha. Pengine ukiweza unaweza kuzungumza hayo yasiyoweza kupoona kwa maombi yanapona wapi?

quote_icon.png
By mtz daima

Acheni kumdanganya mwenzenu huwezi pona vidonda vya tumbo kwa maombi.

Ili utibu ugonjwa wowote lazima kwanza uelewe theories behind huo ugonjwa na uzuri ni kwamba tayari wataalamu wameshaandika hayo yote kuanzia visababishi, dalili na namna ya kutibu au kupunguza makali yake. Vidonda vya tumbo unapona kama utawahi maana nao una stages zake.

Kwa hiyo ili kumsaidia huyu ndugu yetu lazima akafanye vipimo kujua tatizo lake lipo hatua gani na kupewa matibabu stahiki kulingana na hatua hiyo (see specialist). Meanwhile mchanganyiko wa maziwa fresh na asali ya nyuki wadogo inasaidia sana kupunguza madhara/maumivu zaidi.

Hayo mengine ya maombi na magonjwa nenda youtube tafuta clip ya msigwa utaelewa vizuri
 
Wanajanvi.salaam.
Nimejaribu kupia uzi uliopita kuhusu dawa ya vidonda vya tumbo,nimeaona nivema niwajulishe kwa atakae hitaji.

dawa hii inatibu kwa siku kumi pekee.
Ni dose 2 pekee.hata vikiwa vimekomaa sana kwa kupelekea mtu kuarisha damu,na pia ni dawa hii inatibu vidonda vya utumbo mpana(duodenal ulcers) na tumbo la kawaida(peptic ulcers)

bei ya dawa ni shs.200,000.tu.

Napatikana MUSOMA,mjini.
mawasiliano.0755651583.
 
Mimi ninayo ya mitishamba elfu 50 tu kwa atakehitaji anipm natuma sehemu yoyote Tanzania nimewapa wengi na wamepona
 
Wapunguzie bei bhanaa mizizi c ulichukuliaga shambani kwao**** tupia namba za mawasiliano mkuu
 
Nilitamani ungekuwa na uwezo wa kujibu swali langu, badala ya kunipelekea theories ambazo hata wewe huzijui.

Mada yetu mimi na wewe ilikuwa ni kupona kwa njia ya maombi. Wewe ukasema wanaoshauri aende kwenye maombi wanadanganyana kwa kuwa vidonda vya tumbo haviwezi kupona kwa kuombewa.

Ninachofahamu, mtu akiwa mgonjwa akapewa dawa sahihi na mwili wake ukakubali kushirikiana na ile dawa kupambana na ugonjwa ule, huwa anapona. Na ndiyo sababu watu huambizana kutumia dawa mbali mbali kwa matatizo ya afya kwa kuwa wanashuhuda kwamba zilishawahi kuwasaidia watu wakapona. Ama wana uhakika zinauwezo wa kupambana na tatizo husika katika mwili wa mwanadamu.

Mtu anapokwenda kwenye huduma za maombi, ni nnini huwa kinawaponya?

Ili utibu ugonjwa wowote lazima kwanza uelewe theories behind huo ugonjwa na uzuri ni kwamba tayari wataalamu wameshaandika hayo yote kuanzia visababishi, dalili na namna ya kutibu au kupunguza makali yake. Vidonda vya tumbo unapona kama utawahi maana nao una stages zake.

Kwa hiyo ili kumsaidia huyu ndugu yetu lazima akafanye vipimo kujua tatizo lake lipo hatua gani na kupewa matibabu stahiki kulingana na hatua hiyo (see specialist). Meanwhile mchanganyiko wa maziwa fresh na asali ya nyuki wadogo inasaidia sana kupunguza madhara/maumivu zaidi.

Hayo mengine ya maombi na magonjwa nenda youtube tafuta clip ya msigwa utaelewa vizuri
 
Nilitamani ungekuwa na uwezo wa kujibu swali langu, badala ya kunipelekea theories ambazo hata wewe huzijui.

Mada yetu mimi na wewe ilikuwa ni kupona kwa njia ya maombi. Wewe ukasema wanaoshauri aende kwenye maombi wanadanganyana kwa kuwa vidonda vya tumbo haviwezi kupona kwa kuombewa.

Ninachofahamu, mtu akiwa mgonjwa akapewa dawa sahihi na mwili wake ukakubali kushirikiana na ile dawa kupambana na ugonjwa ule, huwa anapona. Na ndiyo sababu watu huambizana kutumia dawa mbali mbali kwa matatizo ya afya kwa kuwa wanashuhuda kwamba zilishawahi kuwasaidia watu wakapona. Ama wana uhakika zinauwezo wa kupambana na tatizo husika katika mwili wa mwanadamu.

Mtu anapokwenda kwenye huduma za maombi, ni nnini huwa kinawaponya?

Nakubaliana na wewe kwrnye para 2 sikutaka kuelezea kwa undani sana coz tayari wataalamu wenzangu wadhaweka theories za kutosha.

kwa ufupi hakuna ugonjwa unapona kwa maombi labda kama mtu ana mapepo au katupiwa jini au mengine yaliyokuwa induced kwa nguvu za giza.
 
Back
Top Bottom