Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Kuweni serious. Mtu kaomba ushaur juu ya dawa ya kumtibia vidonda vya tumbo halafu wewe unamwambia ameze H pyrol. Kwel? Helicobacter Pyrol (H pyrol) ndo bacteria anayesababisha ugonjwa au acid. Halafu unamwambia mtu ameze bacteria????
 
Kula kabichi kwa wiki 2 mfululizo. Unaweza kula bichi, kutengeneza juice, salad, kulipika kama mboga. Unaweza kula pekee au kuchanganya na mboga nyengine kama carrots. Kula Ndizi mbivu. Maziwa ya Mbuzi. Epuka alcohol na sigara kama unatumia.
niliwah ckia kuwa kabich ni chakula knacholeta gesi tumboni, je hii haitaleta shda
 
mimi mwenyewe iliwa kunitokea kama miaka minne mfulululizo! njoo pm na namba yake nimshamshauri kitu!
 
njoo pm! nikushauri ilo ni tatizo dogo tuu!
 
Reactions: GUI
Shida ni kwamba, wagonjwa wengi wa vidonda vya tumbo hawatibu tatizo (problem) ila wanatibu dalili za tatizo (symptoms)... Kutibu peptic ulcers inabidi ujue kwanza nini zilisababisha vidonda vya tumbo in the first place...
Sababu kubwa ya vidonda vya tumbo ni msongo wa mawazo au stress... Ili uweze kupona vidonda vya tumbo inabidi kupunguza mawazo na kuteki mambo easy... Kama kuna changamoto za maisha zinazokukabili zitatue then kwa dawa yeyote utakayokunywa, iwe majivu, maziwa, au anti acidi, within two weeks utakuwa umepona. Wale ambao hawaponi ni wale ambao hawatatui matatizo yao yanayosababisha msongo wa mawazo...
 
niliwah ckia kuwa kabich ni chakula knacholeta gesi tumboni, je hii haitaleta shda
Kabili linasaidia kutibu matatizo mengi ya tumbo na utumbo. Mimi nalitumia sana kwa chakula sijawahi kuhisi kuniletea tatizo la gesi.
 
Unasumbuliwa na vidonda vya tumbo??? Chukua maganda ya nanasi chemsha yakiwa na uvuguvugu changanya na asali ya nyuki wadogo kunywa. Kunywa mara mbili kwa siku na ufanye ivyo kwa muda wa siku saba.
 
Unasumbuliwa na vidonda vya tumbo??? Chukua maganda ya nanasi chemsha yakiwa na uvuguvugu changanya na asali ya nyuki wadogo kunywa. Kunywa mara mbili kwa siku na ufanye ivyo kwa muda wa siku saba.

Daah we jamaa unataka kuua watu sasa..hilo nanasi lenyewe tu ukila ni sababu tosha ya kuleta ulcers ..hayo maganda yenye mibamiba si ndio unaita kifo tena??..ndugu tuoneane huruma jamani
 
Daah we jamaa unataka kuua watu sasa..hilo nanasi lenyewe tu ukila ni sababu tosha ya kuleta ulcers ..hayo maganda yenye mibamiba si ndio unaita kifo tena??..ndugu tuoneane huruma jamani
Nadhani unachokunywa ni ule mchanganyiko sio maganda
 
Unasumbuliwa na vidonda vya tumbo??? Chukua maganda ya nanasi chemsha yakiwa na uvuguvugu changanya na asali ya nyuki wadogo kunywa. Kunywa mara mbili kwa siku na ufanye ivyo kwa muda wa siku saba.
habari wakuu nilikuwa nasoma hapa kitu kuhusu nanasi na nimegundua kitu chemistry ya nanasi INA mchanganyiko wa almost full diet ila kuna acids nyingi pia zimo
na ukianza kuchambua vidonda vya tumbo husababisha na uzalishaji wa acid aina ya HCl
kama various acid zitakuna na HCl zitaleta reaction amboyo italeta new product ndani ya tumbo hivyo maumivu yatapungua kimtindo.
 
Ngoja nikajaribu kutengeneza Bomu tumboni...maisha haya!?
ila unapokuwa unatengeneza dawa hiyo inabidi utumie na parachichi pia usisahau kula kwa wakati
kwanini nimekuambia hivyo kwasababu hizi dawa za herb huwa zinafanyakazi kwa ufasaha kama itakuwa na nyenzake kwamfano karanga ni dawa nzuri ya nguvu za kiume ila nutrients ya msingi ni arginine kama ukifanya extraction ukaitoa arginine pekee haitafanya kazi kama ukila karanga kama ilvyo.
 
Daah we jamaa unataka kuua watu sasa..hilo nanasi lenyewe tu ukila ni sababu tosha ya kuleta ulcers ..hayo maganda yenye mibamiba si ndio unaita kifo tena??..ndugu tuoneane huruma jamani
Duuh aisee mimi nimeshare kitu kilichoniponyesha sasa vya kuua mimi sijui ila kama mtu ana hofu asitumie.
 
Bora umenisaidia kutoa maelezo maana nishaonekana muuaji[emoji5][emoji5], nilisumbuka almost 2 years nikaambiwa ivyo na rafiki yangu ambaye nae ndiyo ilikua dawa yake na akapona, na mimi sasa hivi ni mzimaaa hadi pilipili natwanga na nilienda pima nikaonekana nipo okay kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…