Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu naona umechungulia fursa!Nipigie simu kwa namba hii: Dr. Saidi Lasso 0688 441 144 / 0752-712 550.
...duh,mbona masharti makali kuliko mgonjwa wa ukimwi?...na matibabu aghali sana,Nunua dawa ya Omeprazole, Gastrocide au nunua dawa ya Heligo Kit / ambayo kwa dose inauzwa 45,000/= hii dawa inauwa wale wadudu wa maambukizi ambao wapo ktk utumbo wanaitwa pyloric.
watu wengi wa vidonda vya tumbo wanalalamika kuwa hizi dawa haziponyeshi hii ni uongo. Hawaponi kwasababu hawafuati masharti. masharti yake baadhi ni:-
1. Usiwe na mawazo
2. Usiwe na hasira
#. Usinywe pombe, soda yenye gas, nyama choma, chipsi,maharage yani mbig zote za mikunde, chakula chenye viungo vingi, asprin, kupitisha muda wa kula. mimi niliumwa vidonga kwz miaka 7 lkn tangu 2005 hadi hii leo kila kitu nakula
Kama dawa hizo hazikukusaidia nenda hospitali kapige X- ray ya Barium meal, kama xray ya barium meal haikuwaona wale wadudu basi piga ile X - ray ya kumeza mpira yani OGD Xray au inajulikana kwa jina la Endoscope (approxi 360,000/=) kwa kipimo ile ndio top xray ya ulcers, ndio itaona kuwa labda vidonda vipo ktk utumbo mpana/ Doudemum au laa baada ya hapo ndio utapewa dawa ya Heligo kit. Usipige xray ya Ultrasound hii xray haioni aina ya vidonda vya tumbo ila inaona gas tu
Ss hapo kwenye energy drink ndo unapoteaHakuna dawa ya vidonda vya tumbo. Dawa ya vidonda vya tumbo ni wewe mwenyewe. Punguza kuwaza sana. Punguza stress, kama maisha yanakupa stress badili life style... Pia kunywa sana maziwa kwa mda kama wa wiki mbili mfululizo. Baada ya hapo hakikisha angalau mda ambao unakuwa na stress nyingi za kazi au maisha unajipatika kinywaji cha Azam energy au Mo energy. Hii hukusaidia kufocus kwenye shughuli muhimu na kupunguza mawazo yasiyo na tija...
Otherwise pole sana na ugonjwa huu unaoletwa na pilika pilika za maisha...
Nimekuwa mgonjwa takliban miaka 3 najisikia tumbo likiwaka moto maumivu kifuani kuchoka kwumwamgongo mwilikukonda nk nimee zahanati malimbali mahospitar mbambali nishaenda nikapata dawa lakini spati nafuu kwa anae jua dawa msaada maaana bado napenda kuishi
Nimetoka kumpeleka mama dispensary kwa ajili ya tatizo hilohilo.......nimetokwa elfu 95. Nimeomba diagnosis yake wamenigomea eti huwa hawatoagi.....nikanyong'onyea balaa.....
Kuna madawa mengi kapewa na sindano juu (5). Ngoja nirudi nikuorodheshee majina na ile sindano
Ni kweli magita, hata mimi nilikuwa na vidoda vya tumbo kwa mda mrefu ila nilipo pimwa nikapewa hizo dawa za heligo mpaka sasa niko powa
...Afya ina thamani kuliko kitu chochote dawa kama inakutibu ukapona ni bora uwe fukara kwa kutoa kila ulichonacho ili upone...duh,mbona masharti makali kuliko mgonjwa wa ukimwi?...na matibabu aghali sana,
...sana yani!
....sio rahisi kihivyo lakini!..,kwa masharti hayo sisi maskini tutakuwa tunatuliza tu ugonjwa,vinginevyo maisha yatakosa thamani yake!...Afya ina thamani kuliko kitu chochote dawa kama inakutibu ukapona ni bora uwe fukara kwa kutoa kila ulichonacho ili upone
Mkuu mdalasini nlikckia unapona kabisaaa, ila hapo kwenye masharti ya chakula ndo sijakupata! Ndizi hizo mbivu au mbichi? Na viazi mviringo vina athari gani? Au hivyo ni valid kula ?Ugonjwa unatesa sana huo tumia blue band kijiko kimoja changanya na asali kijiko kimoja lamba mara moja kwa siku au unga wa mdalasini changanya na asali lamba asbh na mchana kwa mwezi mmoja fuata masharti ya chakula zuia acid usile vyakula vyenye nyanya machauniz mbina zote darkgreen viazi mvirigo ndizi soda majani ya chai maziwa hasa fresh
Huo unga wa mdalasini unapatikana vip na gharama zake mkuu? Help.Ugonjwa unatesa sana huo tumia blue band kijiko kimoja changanya na asali kijiko kimoja lamba mara moja kwa siku au unga wa mdalasini changanya na asali lamba asbh na mchana kwa mwezi mmoja fuata masharti ya chakula zuia acid usile vyakula vyenye nyanya machauniz mbina zote darkgreen viazi mvirigo ndizi soda majani ya chai maziwa hasa fresh
Wakati unakunywa hizo dawa loweka magadi kiasi flani utakuwa unakunywa asubhi kabla ya kula na jioni kabla ya kulaHapo kwenye nyama choma sasa dah! Any way, na ili anatakiwa anywe dozi ngap mkuu?
36000-40000 japo inaweza kuwa zaidiHyo heligo ndo sh ngap?
Mkuu.Nimekuwa mgonjwa takliban miaka 3 najisikia tumbo likiwaka moto maumivu kifuani kuchoka kwumwamgongo mwilikukonda nk nimee zahanati malimbali mahospitar mbambali nishaenda nikapata dawa lakini spati nafuu kwa anae jua dawa msaada maaana bado napenda kuishi