Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

66aa59fb1975713440bff3c11ce3d5f7.jpg
 
Nimekuwa mgonjwa takliban miaka 3 najisikia tumbo likiwaka moto maumivu kifuani kuchoka kwumwamgongo mwilikukonda nk nimee zahanati malimbali mahospitar mbambali nishaenda nikapata dawa lakini spati nafuu kwa anae jua dawa msaada maaana bado napenda kuishi
Ulishapata suruhisho la tatizo lako mkuu?
 
[QUOTMimi lvee, post: 19894472, member: 411980"]Ulishapata suruhisho la tatizo lako mkuu?[/QUOTE]
Mkuu mimi nahitaji suluhisho la hpylori na kiungulia.Bado sijawa na vidonda
 
kutibiwaNi ="djzm70, post: 19894696, member: 221736"]Tangawizi na kitunguu swaumu[/QUOTE]
Kutibu nini
 
[QUOTnahtaj huo se moses, post: 19897579, member: 412575"]Mkuu uspojali tuma hats SMS,0623293380,msaada upo[/QUOTE]
Mkuu nisaidie
 
Nimekuwa mgonjwa takliban miaka 3 najisikia tumbo likiwaka moto maumivu kifuani kuchoka kwumwamgongo mwilikukonda nk nimee zahanati malimbali mahospitar mbambali nishaenda nikapata dawa lakini spati nafuu kwa anae jua dawa msaada maaana bado napenda kuishi
Chukua mkia wa kondoo uandae vyema kwa kuusafisha toa ngozi ile uweke kwenye kikaango ama sufuria weka jikoni uungue mpaka uishe wpte ugeuke mafuta yachujenmafuta yaweke kwenyw chupa safi tumia vijiko vitatu asbh na vitatu jion kwa kuchanganya mafuta hayo na asali vijiko viwili.

Utapona na itakua historia kwako na utanenepa vzr tu
 
Jitahidi sana kupunguza kula vyakula vyenye acid nyingi kama nyanya, matunda mengi yana acid sana. Papai is the best. Punguza kula nyama ya ng'ombe. Kula dona ilochanganywa na ngano. Usiweke ndimu wala tangawizi kwenye msosi. No fizzy drinks. Maziwa inategemea wengine hayawafai. Vyakula vya kukaaanga Sio vizuri. Epuka kula maharage na jamii hiyo.
Tafuta mafuta ya ubuyu unywe kila jioni.
Ukiweza kufanya hivyo na kuongezea mengine waliosema wengine kasoro huyo alosema unywe energy drinks!!
 
Nunua dawa ya Omeprazole, Gastrocide au nunua dawa ya Heligo Kit / ambayo kwa dose inauzwa 45,000/= hii dawa inauwa wale wadudu wa maambukizi ambao wapo ktk utumbo wanaitwa pyloric.
watu wengi wa vidonda vya tumbo wanalalamika kuwa hizi dawa haziponyeshi hii ni uongo. Hawaponi kwasababu hawafuati masharti. masharti yake baadhi ni:-
1. Usiwe na mawazo
2. Usiwe na hasira
#. Usinywe pombe, soda yenye gas, nyama choma, chipsi,maharage yani mbig zote za mikunde, chakula chenye viungo vingi, asprin, kupitisha muda wa kula. mimi niliumwa vidonga kwz miaka 7 lkn tangu 2005 hadi hii leo kila kitu nakula

Kama dawa hizo hazikukusaidia nenda hospitali kapige X- ray ya Barium meal, kama xray ya barium meal haikuwaona wale wadudu basi piga ile X - ray ya kumeza mpira yani OGD Xray au inajulikana kwa jina la Endoscope (approxi 360,000/=) kwa kipimo ile ndio top xray ya ulcers, ndio itaona kuwa labda vidonda vipo ktk utumbo mpana/ Doudemum au laa baada ya hapo ndio utapewa dawa ya Heligo kit. Usipige xray ya Ultrasound hii xray haioni aina ya vidonda vya tumbo ila inaona gas tu
Hakuna vidonda vya tumbo vinavyokuwa kwenye utumbo mpana broo
 
Mie kuna dawa nimeambiwa kwani name ni muhanga wa vidonda vya tumbo: chukua nyanya cungu 5 bamia 10 chemsha na maji kama lita 2 acha yachamke sana hadi yapungue usiweke chochote hata tone la chumvi chuja ondoa zile bamia na nyanya chungu hakikisha unapata glass moja kubwa ya maji utakayo chuja acha yapowe kidogo hadi iwe uvuguvugu kuwanya glass yote kwa mkupuo, zoezi hilo lifanye kwa muda wa siku 7 nikimaanisha kila siku unachemsha nyanya chungu na bamia nyingine kwakipindi hicho cha siku 7. Nimeanza hilo zoezi jana
Vipi mrejesho
 
Nunua dawa ya Omeprazole, Gastrocide au nunua dawa ya Heligo Kit / ambayo kwa dose inauzwa 45,000/= hii dawa inauwa wale wadudu wa maambukizi ambao wapo ktk utumbo wanaitwa pyloric.
watu wengi wa vidonda vya tumbo wanalalamika kuwa hizi dawa haziponyeshi hii ni uongo. Hawaponi kwasababu hawafuati masharti. masharti yake baadhi ni:-
1. Usiwe na mawazo
2. Usiwe na hasira
#. Usinywe pombe, soda yenye gas, nyama choma, chipsi,maharage yani mbig zote za mikunde, chakula chenye viungo vingi, asprin, kupitisha muda wa kula. mimi niliumwa vidonga kwz miaka 7 lkn tangu 2005 hadi hii leo kila kitu nakula

Kama dawa hizo hazikukusaidia nenda hospitali kapige X- ray ya Barium meal, kama xray ya barium meal haikuwaona wale wadudu basi piga ile X - ray ya kumeza mpira yani OGD Xray au inajulikana kwa jina la Endoscope (approxi 360,000/=) kwa kipimo ile ndio top xray ya ulcers, ndio itaona kuwa labda vidonda vipo ktk utumbo mpana/ Doudemum au laa baada ya hapo ndio utapewa dawa ya Heligo kit. Usipige xray ya Ultrasound hii xray haioni aina ya vidonda vya tumbo ila inaona gas tu
Naam mkuu, hospitali nyingi wanapima vidonda vya tumbo ila H-Pylory hawapimi, nadhani vipimo vyake ni gharama na dawa vile vile ni gharama.

Watu wengi km ulivyosema Helgo Kit hsiponyi kutokana na kukiuka madharti, ikumbukwe dose ya H-Pylori sio chini ya mwezi mmoja au week 3 hivyo watu hushindwa masharti.

Ukizingatia utapona, nenda hospitali kubwa za rufaa kama umesumbuliwa kwa muda mrefu na vidonda vya tumbo, mweleze daktari ikiwa umewahi kupima H-pylori na kama bado mwombe akupime(tumia lugha nzuri hata km una hela kwani madaktari hawapendi kushauriwa na wagonjwa). Ukimkuta daktari mzuri hata km wadudu hawataonekana anaweza kukuelekeza vitu vya kuepuka na vya kufanya ili vipimo vionyeshe, visipoonekana(vinatabia hiyo ya kujificha) anaweza kukupa dose kisha utaona majibu yake
 
Nunua dawa ya Omeprazole, Gastrocide au nunua dawa ya Heligo Kit / ambayo kwa dose inauzwa 45,000/= hii dawa inauwa wale wadudu wa maambukizi ambao wapo ktk utumbo wanaitwa pyloric.
watu wengi wa vidonda vya tumbo wanalalamika kuwa hizi dawa haziponyeshi hii ni uongo. Hawaponi kwasababu hawafuati masharti. masharti yake baadhi ni:-
1. Usiwe na mawazo
2. Usiwe na hasira
#. Usinywe pombe, soda yenye gas, nyama choma, chipsi,maharage yani mbig zote za mikunde, chakula chenye viungo vingi, asprin, kupitisha muda wa kula. mimi niliumwa vidonga kwz miaka 7 lkn tangu 2005 hadi hii leo kila kitu nakula

Kama dawa hizo hazikukusaidia nenda hospitali kapige X- ray ya Barium meal, kama xray ya barium meal haikuwaona wale wadudu basi piga ile X - ray ya kumeza mpira yani OGD Xray au inajulikana kwa jina la Endoscope (approxi 360,000/=) kwa kipimo ile ndio top xray ya ulcers, ndio itaona kuwa labda vidonda vipo ktk utumbo mpana/ Doudemum au laa baada ya hapo ndio utapewa dawa ya Heligo kit. Usipige xray ya Ultrasound hii xray haioni aina ya vidonda vya tumbo ila inaona gas tu
Si kila vidonda vinatokana na wadudu vidonda vingine ni chemicals tu zinasababisha. Hakuna dawa ya hospitali inatibu vidonda tusidanganyane. Eti unapewa dawa unaambiwa usiwe na hasira, mawazo usile vyakula fulani basi hiyo siyo dawa make hata hivyo vyakula ulivyovitaja hujamaliza vipo vingi sana hutakiwi kula lakini ukipata dawa safi ya kienyeji kama iliyoniponyesha basi utakula kila kitu hadi pilipili. Mimi nilikuwa muhanga mkubwa wa vidonda lakini nimepona
 
Hakuna dawa ya vidonda vya tumbo. Dawa ya vidonda vya tumbo ni wewe mwenyewe. Punguza kuwaza sana. Punguza stress, kama maisha yanakupa stress badili life style... Pia kunywa sana maziwa kwa mda kama wa wiki mbili mfululizo. Baada ya hapo hakikisha angalau mda ambao unakuwa na stress nyingi za kazi au maisha unajipatika kinywaji cha Azam energy au Mo energy. Hii hukusaidia kufocus kwenye shughuli muhimu na kupunguza mawazo yasiyo na tija...
Otherwise pole sana na ugonjwa huu unaoletwa na pilika pilika za maisha...
Azam energy Mo energy. Ni sumu
 
Back
Top Bottom