Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Mkuu ninayo dawa ya kukutibu kwa siku 30 utapona vidonda vyako vya Tumbo. Ukihitaji unitafute kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169Habari za jioni, popote ulipo. Nasumbuliwa na vidonda vya tumbo nahitaji msaada wa dawa. Vinaninyima raha, nahitaji kurudia hali yangu ya kawaida. Tafadhalini
Ni pm mkuu siwezi weka nmb ya mtu hapa kibarazani..Mkuu kwani hizo shule mbili nsongwi primary na secondary zipo karibu...kama zipo karibu naomba bhc ya mwalimu mmoja naimani nikiwasiliana nae atanisaidia kupata mawasiliano ya hiyo secondary..nitashukuru sana mkuu
Habari za jioni, popote ulipo. Nasumbuliwa na vidonda vya tumbo nahitaji msaada wa dawa. Vinaninyima raha, nahitaji kurudia hali yangu ya kawaida. Tafadhalini
Tumia blackseeds oil tafuta pia ushuhuda wa watu walio pona kwa kuitumia
Ni pm mkuu siwezi weka nmb ya mtu hapa kibarazani..
Recergel inatibuje mkuu na ni shs ngapiNunua rercegel
Pole sanaHabari za jioni, popote ulipo. Nasumbuliwa na vidonda vya tumbo nahitaji msaada wa dawa. Vinaninyima raha, nahitaji kurudia hali yangu ya kawaida. Tafadhalini
Hio kiboko, pengine yatakausha vidonda lakiniMalimau Hanna make yana cirtric acid so yakikutana na ulcers atawashwa na maumiv makali
Ngoja nifanye hivyo maana hata mimi ninatatizo hili chiefBlemalimao kila kitu kana yalivyo usimenye, kata kata saga, chuja juice yake jaza kopo la lita moja na nusu, halafu uwe una kunywa nusu glass at least nusu saa kabla hujala, mara tatu kwa siku. Nimefanya hivyo baada ya kutumia dawa nyingi sana bila mafanikio, lakini sasa hivi nakula kila kitu.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Malimau Hanna make yana cirtric acid so yakikutana na ulcers atawashwa na maumiv makali
Inapatikana wapiNi ya kunywa inauzwa kama 4000 inasaidia na inakausha ulcers
nikishakwenda nikafanya endoscopy,dawa nilipewa lakini bado maumivu nduguNenda kapime kwanza. Daktarindio atajua aanze kukupa dozi gani
ndio nini, naomba nieleweshe mkuuNunua rercegel
Wewe unajitibuje mdau, tujuzaneMwenyewe Nina tatizo hilo hilo mkuu