mtugani wa wapi huyo
JF-Expert Member
- Dec 5, 2012
- 1,239
- 1,475
Mkuu asante na mimi nitajaribu. Je ushawahi tumia au kuna jamaa yako alipona kwa njia hiyo
Hizo bamia tatuna vijiko vya asali ni kwa mara moja. Yaani asubuhi bamia tatu, vijiko vitatu. Mchana na jioni hivyo hivyoNdo Maana nikakwambia Baada ya Week ulete Mrejesho
Hizo bamia tatuna vijiko vya asali ni kwa mara moja. Yaani asubuhi bamia tatu, vijiko vitatu. Mchana na jioni hivyo hivyo
Mkuu bei imepungua au bado hii?Wanajanvi.salaam.
Nimejaribu kupia uzi uliopita kuhusu dawa ya vidonda vya tumbo,nimeaona nivema niwajulishe kwa atakae hitaji.
dawa hii inatibu kwa siku kumi pekee.
Ni dose 2 pekee.hata vikiwa vimekomaa sana kwa kupelekea mtu kuarisha damu,na pia ni dawa hii inatibu vidonda vya utumbo mpana(duodenal ulcers) na tumbo la kawaida(peptic ulcers)
bei ya dawa ni shs.200,000.tu.
Napatikana MUSOMA,mjini.
mawasiliano.0755651583.
Mimi nazeeka vibaya-kweli nimemsoma vizuri ????-its time for an eye testDawa ya vidonda vya tumbo Mfahamishe huyo jamaa anayeumwa na Vidonda vya Tumbo atumie Dawa ya Hii ya Kienyeji Akiamka Asubuhi kabla ya kula kitu akojowe mkojo wake mwenyewe kwa kipimo cha Glasi moja awe anakunywa mkojo wake kila siku Asubuhi kabla ya kula kitu kwa muda wa Siku Saba kisha Aende kupima hivyo Vidonda vya Tumbo Vitapona na kukauka kabisa Mwambie ajaribu kutumia hiyo Dawa itamsaidia Sana.
Hahaaaaa madini ya mzizi mkavu yanakupofusha macho?Mimi nazeeka vibaya-kweli nimemsoma vizuri ????-its time for an eye test
NdioHalafu wadau naomba kuuliza vidonda vya tumbo hipelekea mwanaume kupoteza hamu ya tendo la ndoa?
Asanteee mkuu, kama una utaalamu zaidi unaweza elezea madhara zaidi yatokano na huu ugonjwaNdio
Inaonyesha unazeeka vibaya ndio maana huoni kilicho andikwa pole sana kwa huo uzee wakoMimi nazeeka vibaya-kweli nimemsoma vizuri ????-its time for an eye test
You could be right-I would rather go to Heaven then go the path of your so called ulcer cureInaonyesha unazeeka vibaya ndio maana huoni kilicho andikwa pole sana kwa huo uzee wako
Ok. AhsanteYa kijani ndiyo kubwa ya nhif
Tafuta mafuta ya kondoo then changanya vijiko viwili vya mafuta ya kondoo na maji ya vuguvugu kama nusu glass then kunywa asubuhi na jioni.Nimekuwa mgonjwa takliban miaka 3 najisikia tumbo likiwaka moto maumivu kifuani kuchoka kwumwamgongo mwilikukonda nk nimee zahanati malimbali mahospitar mbambali nishaenda nikapata dawa lakini spati nafuu kwa anae jua dawa msaada maaana bado napenda kuishi
VIDONDA VYA TUMBOVipimo vipo japo kweli ni hospital kubwa kubwa ni sh laki na kitu ila bima inakubalika, dawa za huyo bakteria zipo kama mwenzetu alivyoeleza na ukitaka zikusaidie haraka zichukue ambazo siyo za ile kit maana ni dawa zilezile amoxyline flagyl na arithromycin au combination nyingine tu ya antiobitic then utumie na rabeprazole na relcer ila pia unaweza kugoogle utapata choices nyingi ambazo zina nguvu zaidi baada ya hapo zingatia vyakula hata maziwa huyakiwi kutumia chips yaani viazi mvingo nyanya ndizi chinese kotosho karanga mihogo nk
Heligo Kit ni matibabu sahihi......mimi nimewahi kuugua vidonda vya tumbo kwa miaka mitatu na nilikuwa nikienda hospital naambiwa ni amoeba ama minyoo kwahiyo mara nyingi nilikuwa natibu ugonjwa ambao sio...lakini tangu nimetumia Heligo Kit sijawahi sumbuliwa na vidonda vya tumbo na nilirecover baada ya week moja tangu kutumia hizo dawa...kutapika kuliisha, constipation iliisha, viungulia, mate kujaa mdomoni, uchovu na maumivu ya tumbo yote yaliisha na hata uzito nikaongezeka....tafuta dawa ya Heligo Kit itakusaidiaNunua dawa ya Omeprazole, Gastrocide au nunua dawa ya Heligo Kit / ambayo kwa dose inauzwa 45,000/= hii dawa inauwa wale wadudu wa maambukizi ambao wapo ktk utumbo wanaitwa pyloric.
watu wengi wa vidonda vya tumbo wanalalamika kuwa hizi dawa haziponyeshi hii ni uongo. Hawaponi kwasababu hawafuati masharti. masharti yake baadhi ni:-
1. Usiwe na mawazo
2. Usiwe na hasira
#. Usinywe pombe, soda yenye gas, nyama choma, chipsi,maharage yani mbig zote za mikunde, chakula chenye viungo vingi, asprin, kupitisha muda wa kula. mimi niliumwa vidonga kwz miaka 7 lkn tangu 2005 hadi hii leo kila kitu nakula
Kama dawa hizo hazikukusaidia nenda hospitali kapige X- ray ya Barium meal, kama xray ya barium meal haikuwaona wale wadudu basi piga ile X - ray ya kumeza mpira yani OGD Xray au inajulikana kwa jina la Endoscope (approxi 360,000/=) kwa kipimo ile ndio top xray ya ulcers, ndio itaona kuwa labda vidonda vipo ktk utumbo mpana/ Doudemum au laa baada ya hapo ndio utapewa dawa ya Heligo kit. Usipige xray ya Ultrasound hii xray haioni aina ya vidonda vya tumbo ila inaona gas tu