Heligo Kit ni matibabu sahihi......mimi nimewahi kuugua vidonda vya tumbo kwa miaka mitatu na nilikuwa nikienda hospital naambiwa ni amoeba ama minyoo kwahiyo mara nyingi nilikuwa natibu ugonjwa ambao sio...lakini tangu nimetumia Heligo Kit sijawahi sumbuliwa na vidonda vya tumbo na nilirecover baada ya week moja tangu kutumia hizo dawa...kutapika kuliisha, constipation iliisha, viungulia, mate kujaa mdomoni, uchovu na maumivu ya tumbo yote yaliisha na hata uzito nikaongezeka....tafuta dawa ya Heligo Kit itakusaidia