Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Tumia Omeprazole, tumbo likiacha kuuma, uache matumizi ya soda zote navyakula vyote bandia utapona kabisa..over
Nilipewa ushauri kama huu,nikafuata nikapona. Sikuamini kuambiwa sina tena maana nilisikiaga hauponi. But nilipona
 
Baada ya kusumbuliwa na maumivu ya tumbo kwa muda sasa leo nimeenda kupima nanimekutwa na vidonda vya tumbo vinavyo sababishwa na (H-PYROLLI)
Kutokana na kujaa kwa dispensary zinazojisifu kutibu nimeamua kuangalia upande mwingine kama kuna mtu anafaham mtaalamu kabla ya kujitosa kutafuta tiba kwenye hizi zahanati nipo Nyegezi MWANZA
Nitafute mimi nikupe dawa yangu upate kutumia kwa muda wa siku 30 utapona na kusahau kama ulikuwa unavyo vidonda vya tumbo.
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu.
 
Sawa mkuu ngoja nikucheki
 
Mkuu chukua glass ya maziwa na Binzari manjano nus kijiko
Cha chai changanya kunywa fanya ivo asbh na jioni kwa siku3
Mkuu hutategemea kama vle mimi nlivokua sijaamini hadi leo imepotea mazima
 
punguza nawazo.. Kunywa glass moja ya wine kabla ya kulala.. Kama huwezi kumudu, kunywa dawa ya kikohozi ya Coflyn kijiko kimoja kabla ya kulala.. Inaonekana unawaza sana usingizini.. Ukinywa dawa nilizokuambia utaweza kulala kama mtt na tumbo litapunguza kuzalisha acid.. Mimi mbinu hizi zilinisaidia sana kupona.
 
Hivi huyu Member The Bold BAN yake imeisha? Alifanya nini vile hadi akapewa BAN ile? Jamaa alikuwa na ' mastori ' mazuri mno ya mambo ya Kijasusi hadi raha.
 
Mkuu chukua glass ya maziwa na Binzari manjano nus kijiko
Cha chai changanya kunywa fanya ivo asbh na jioni kwa siku3
Mkuu hutategemea kama vle mimi nlivokua sijaamini hadi leo imepotea mazima

ni maziwa mgando? au maziwa fresh?

na je umepona kabisa 'cured'? ama inatuliza tu?

-Kaveli-
 
ULIKWISHA WAHI KUTIMIA H.PYLORI KIT ?(VIDONGE) NA JE ULITUMIA KWA SIKU NGAPI?
 
punguza nawazo.. Kunywa glass moja ya wine kabla ya kulala.. Kama huwezi kumudu, kunywa dawa ya kikohozi ya Coflyn kijiko kimoja kabla ya kulala.. Inaonekana unawaza sana usingizini.. Ukinywa dawa nilizokuambia utaweza kulala kama mtt na tumbo litapunguza kuzalisha acid.. Mimi mbinu hizi zilinisaidia sana kupona.

Wine inapooza[emoji15]white wine ama[emoji3]
Coflyn[emoji3][emoji3]we unataka kuua mtu[emoji3]gesi juu ya moto[emoji3]
 
ni maziwa mgando? au maziwa fresh?

na je umepona kabisa 'cured'? ama inatuliza tu?

-Kaveli-

Maziwa fresh naweweee
Toka lini mgando ikaponya au kukupa afya[emoji35]
We upo sirias unaumwa au unatupotezea chaj tu za sim
 
Baada ya kusumbuliwa na maumivu ya tumbo kwa muda sasa leo nimeenda kupima nanimekutwa na vidonda vya tumbo vinavyo sababishwa na (H-PYROLLI)
Kutokana na kujaa kwa dispensary zinazojisifu kutibu nimeamua kuangalia upande mwingine kama kuna mtu anafaham mtaalamu kabla ya kujitosa kutafuta tiba kwenye hizi zahanati nipo Nyegezi MWANZA
Jumatatu nikumbushe nitakusaidia ushauri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom