Galapagosi
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 2,848
- 2,637
Hahahahaha mkuu we ni hatari ulivyowakilisha hapo juu kuhusu ndugu yetu The bold.Hivi huyu Member The Bold BAN yake imeisha? Alifanya nini vile hadi akapewa BAN ile? Jamaa alikuwa na ' mastori ' mazuri mno ya mambo ya Kijasusi hadi raha.