Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Maziwa fresh naweweee
Toka lini mgando ikaponya au kukupa afya[emoji35]
We upo sirias unaumwa au unatupotezea chaj tu za sim

Wewe ulisema tu 'maziwa'. Kwahiyo maziwa mgando siyo 'maziwa' eeh?
Acha uduwanzi. Unapoeleza kitu be specific.
Nasisitiza... unapoelezea tiba, hakikisha unakuwa SPECIFIC. You have to pre-empty any necessary question from readers.
Alafu acha ukilaza. Jibu maswali yote unayoulizwa.

-Kaveli-
 
Baada ya kusumbuliwa na maumivu ya tumbo kwa muda sasa leo nimeenda kupima nanimekutwa na vidonda vya tumbo vinavyo sababishwa na (H-PYROLLI)
Kutokana na kujaa kwa dispensary zinazojisifu kutibu nimeamua kuangalia upande mwingine kama kuna mtu anafaham mtaalamu kabla ya kujitosa kutafuta tiba kwenye hizi zahanati nipo Nyegezi MWANZA
Kwa kukusaidia ni pm nikusaidie matibabu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pendelea Kunywa Supu ya Pweza (Mkuyati) atleast mara moja kwa siku! Ninakuhakikishia Maradhi ya Kiajabu ajabu yote yatakuondokea.
"Trust me"
 
Nitafute mimi nikupe dawa yangu upate kutumia kwa muda wa siku 30 utapona na kusahau kama ulikuwa unavyo vidonda vya tumbo.
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu.
Mwez wote huo wa nn wakat Kuna dawa kibao ndan ya wiki au wiki mbili yuko safi
 
Mkuu tumia hizo dawa utapona. Mi nilikumbwa na hill tatizo km miezi sits iliyopita. Baada ya vipimo nilikosa raha nikijua hakuna dawa lkn Dr. Akanianfikia dawa ilibidi nimuulize Dr. Nitapona kweli? Akanambia nitapona ila nifuate mashart nisitumie kitu chochote chenye acid akanitajia baadhi. Njia nzima nikawa nagoogle vyakula VP vina acid. Nilijitahidi sikuvigusa hata kidogo. Baada ya kumaliza dozi pia nilikaa km wiki situmii badae nikaendelea kula. Sijawah kuvisikia tena.
 
Baada ya kusumbuliwa na maumivu ya tumbo kwa muda sasa leo nimeenda kupima nanimekutwa na vidonda vya tumbo vinavyo sababishwa na (H-PYROLLI)
Kutokana na kujaa kwa dispensary zinazojisifu kutibu nimeamua kuangalia upande mwingine kama kuna mtu anafaham mtaalamu kabla ya kujitosa kutafuta tiba kwenye hizi zahanati nipo Nyegezi MWANZA
Nashauri hakikisha unapata dawa ambazo ni effective kuua hawa bacteria, unaweza kutumia naturar antibiotics pia ziko vzuri. Vinginevyo utakuwa unatuliza tu tatzo linarudi tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom