Haikuishia Hapo
Member
- Jan 13, 2017
- 67
- 49
asante
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asante
ntajaribu piadawa hii hapa
saga juice ya karoti za kutosha pamoja na kabeji kwa pamoja
kunywa kikombe kimoja x2 kwa siku 5-7
utamshukuru Mungu.
Sent using Jamii Forums mobile app
IS THAT TRUE???Nilipewa ushauri kama huu,nikafuata nikapona. Sikuamini kuambiwa sina tena maana nilisikiaga hauponi. But nilipona
% sureIS THAT TRUE???
Mkuu binzari ya njano au manjanoMkuu chukua glass ya maziwa na Binzari manjano nus kijiko
Cha chai changanya kunywa fanya ivo asbh na jioni kwa siku3
Mkuu hutategemea kama vle mimi nlivokua sijaamini hadi leo imepotea mazima
Ivi dalili zake zikoje? Nijulishe mkuuuTumia Omeprazole, tumbo likiacha kuuma, uache matumizi ya soda zote navyakula vyote bandia utapona kabisa..over
Maziwa fresh hayasaidii kuponya ,kwanza hayaruhusiwi kabisa kwa mtu mwenye vidonda vya tumbo.Maziwa fresh naweweee
Toka lini mgando ikaponya au kukupa afya[emoji35]
We upo sirias unaumwa au unatupotezea chaj tu za sim
Maziwa fresh hayasaidii kuponya ,kwanza hayaruhusiwi kabisa kwa mtu mwenye vidonda vya tumbo.
Baada ya kusumbuliwa na maumivu ya tumbo kwa muda sasa leo nimeenda kupima nanimekutwa na vidonda vya tumbo vinavyo sababishwa na (H-PYROLLI)
Kutokana na kujaa kwa dispensary zinazojisifu kutibu nimeamua kuangalia upande mwingine kama kuna mtu anafaham mtaalamu kabla ya kujitosa kutafuta tiba kwenye hizi zahanati nipo Nyegezi MWANZA
Mambo yanakuwa maengi,nilisahau:helloooo