halloperidon
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 2,096
- 5,254
Huku kwetu 42, 000/=msaada hiidawa H pylori kit inapatikana duka gani? na wewe ulinunua shilingi ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huku kwetu 42, 000/=msaada hiidawa H pylori kit inapatikana duka gani? na wewe ulinunua shilingi ngapi?
unaweza kuniambia inapatikana duka gani? huko kwenu ni wapi mkuu. kama uko serious naomba unielekeze vizuriHuku kwetu 42, 000/=
Nina ndugu yangu pia anasumbuliwa na vidonda vya tumbo kwa mda mrefu sasa na ametumia dawa bila mafanikio,naomba unisaidie na mim mkuu, muulize alitumia dawa gani?Dada yangu alikuwa na tatzo kama lako kuna dawa katumia sasa hiv yupo safi, ntakupa mawasiliano yake uzungumze nae akueleze vizuri
Inapatikana pharmacy nyingi tu hapa dar kwahyo beiunaweza kuniambia inapatikana duka gani? huko kwenu ni wapi mkuu. kama uko serious naomba unielekeze vizuri
Ni mada mzuri but sijui kama ipo sehemu sahihi.FAHAMU JUU YA VIDONDA VYA TUMBO (ULCERS) NA MATIBABU YAKE
Vidonda vya tumbo ni vidonda vinavyosababishwa na uharibifu wa kuta za ndani ya tumbo au katika utumbo mdongo (small intestine).
Vidonda hivyo vimegawanyika katika sehemu kuu mbili ambazo ni; vidonda vya ndani ya tumbo (gastric ulcer) au sehemu ya juu ya utumbo mdogo (duodenal ulcer).
Vidonda vinavyotokea katika utumbo ndivyo maarufu sana na huonekana zaidi kutokea kwa wanaume, na vidonda vya ndani ya tumbo huwashambulia wote wanaume na wanawake. Kutokana na tafiti za hivi karibuni, takribani mtu mmoja kati ya watu kumi atakuwa na vidonda vya tumbo.
Aidha, Mfumo wa mmeng'enyo wa chakula hasa kuta za umio, tumbo na utumbo mwembamba hupata mmomonyoko ambao husababishwa na asidi inayotumika kumeng'enya chakula inaposhambulia kuta hizo. Kitaalamu hali hii hutambulika kama 'Peptic ulcers'.
View attachment 624936
Vidonda vya mfumo wa umeng'anyaji chakula vikiwa kwenye tumbo tunaita vidonda vya tumbo 'Gastric ulcer', vikiwa katika duodenum tunaita 'Duodenal ulcer' na vikiwa katika esophagus tunaita 'Esophageal ulcer'
VISABABISHI VYA VIDONDA VYA TUMBO
Bakteria aina ya Helicobacter pylori 'H.pylori' & Non-Steroidal Anti Inflammatory Drugs 'NSAIDs' ndio visababishi vikuu.
Bakteria H.pylori wanahusika sana kwa angalau nne ya tano ya vidonda vya tumbo 'Gastric ulcers' & 95% ya 'Duodenal ulcers' ambapo NSAIDs husababisha 20% ya 'Gastric ulcers' na 5% ya 'Duodenal ulcers'
Bakteria H.pylori husababisha kupitia vyakula na maji. Pia hupatikana kwenye mate ya binadamu hivyo inaweza kusambazwa mdomo kwa mdomo wakati mkila denda/kunyonyana midomo.
Bakteria H.pylori huishi kwenye kuta za utumbo na hutengeneza vimeng'enya 'Enzyme' iitwayo 'Urease' inayopunguza athari za asidi kwenye utumbo.
Utumbo hutaka kufidia kiasi cha asidi kinachopotea kwa kutengeneza zaidi na husababisha kukwangua kuta za utumbo nakupelekea vijeraha katika utumbo.
Non-Steroidal Anti Inflammantory Drugs 'NSAIDs' ni dawa za kutuliza maumivu ya kichwa, maumivu ya hedhi, kushusha homa na kuondoa maumivu madogo madogo mfano Aspirin, Ibuprofen,Diclofenac & Meloxicam. Dawa hizi hupunguza uwezo wa kuta za tumbo na kufanya uwe rahisi kushambuliwa na asidi za tumboni hivyo kusababisha vidonda.
Chembe za urithi 'Genetics': Idadi kubwa ya watu wenye vidonda vya tumbo wana ndugu wa karibu wenye vidonda pia, hii huwafanya wataalamu kufikiria kuwa chembe za urithi zinahusika pia.
Uvutaji sigara/tumbaku: Wavutaji wa sigara wako katika hatari ya kupata vidonda vya tumbo ikilinganishwa na wasiovuta.
Matumizi ya pombe/vilevi: Walevi wako katika hatari zaidi ya kupata vidonda vya tumbo ikilinganishwa na wasiotumia vileo/pombe.
Msongo wa mawazo 'Mental stress': Msongo wa mawazo hausababishi vidonda moja kwa moja ila hufanya hali kuwa mbaya zaidi kwa wagonjwa.
DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO
Aidha ni mara chache sana mtu kuugua vidonda vya tumbo na kutoonyesha dalili hasa katika dalili za mwanzo za ugonjwa huo.
Zifuatazo ni dalili zinazotokea kwa wagojwa wengi:-
Maumivu yanaweza anzia kwenye kitovu na kupanda juu hadi katikati ya kifua 'Epigastric pain'
- Maumivu ya tumbo na huwa makali zaidi pale asidi inapopita juu ya vidonda.
DALILI ZA HATARI
- Kushindwa kumeza vizuri chakula.
- Chakula kukwama kama kinataka kurudi mdomoni.
- Kujisikia vibaya baada ya kula.
- Kupungua uzito
- Kukosa hamu ya kula
- Tumbo kujaa gesi huku kinyesi kikiwa kigumu kama cha mbuzi
- Ute, kama kamasi wakati wa kujisaidia
JINSI VIDONDA HUGUNDULIWA:-
- Kutapika damu
- Kupata choo kikubwa cheusi au chenye damu nzito (pia harufu)
- Kichefuchefu na kutapika
Maelezo ya mgonjwa juu ya dalili alizonazo humsaidia daktari kuhisi kinachomsumbua mteka wake ni vidonda vya tumbo.
Ili kuthibitisha vidonda vipimo vifuatavyo hufanyika :-
Kupima damu 'Blood test'
Kuangalia bakteria aina ya H.pylori na kama mgonjwa amekuwa akitumia antibayotiki au dawa za vidonda Proton Pump Inhibitors 'PPIs' mfano Omeprazole vipimo vyake vya damu vitaonyesha majibu hasi 'Negative'
Kupima pumzi 'Breath test'
Mgonjwa hupewa anywe maji yenye atomi za kaboni zinazoweza kuvunjika, hii hufanya bakteria H.pylori kuvunjika na baada ya lisaa mgonjwa hutoa pumzi kwenye chombo kilichofunikwa kama mgonjwa ameambukizwa sampuli ya pumzi itaonyesha vipande vya kaboni kwenye kabonidioksaidi.
Kupima antijeni kwenye kinyesi 'Stool antigen test'
Kipimo hiki huangalia kama kuna bakteria H.pylori kwenye kinyesi. Vilevule kipimo hiki hutumika kuangalia ufanisi wa matibabu yaliyotolewa dhidi ya bakteria.
X-ray ya sehemu ya juu ya tumbo 'Upper gastrointestinal x-ray'
Picha huonyesha umio 'Esophagus', mfuko wa tumbo 'Stomach' na Dudenum. Mgonjwa humeza maji yenye 'Barium' ambayo hufanya vidonda kuonekana kirahisi kwa x-ray.
Kamera ya tumbo 'Endoscopy'. Mrija mrefu wenye kamera huingia tumboni na daktari huona vidonda kwenye skrini ya kompyuta 'Monitor'.
ATHARI ZA VIDONDA VYA TUMBO
MATIBABU
- Vindonda hivi vimekuwa tishio kubwa sana na kupelekea vifo
- Cancer katika utumbo au tumbo kutokana na vidonda hivyo
- Kukonda na kupungua uzito.
Kutokakana na ugonjwa huu kutopewa kipaumbele katika matibabu yake, hivyo nimeamua kuja na dawa ya kienyeji ambayo mgonjwa atatumia kwa wiki moja au mbili nakupona kabisa tatizo hilo.
NAMNA YA KUPATA DAWA
- Kwa mwenyetatizo hilo kuanzia miezi mitatu hadi saba dawa atatumia kwa wiki moja.
- Kwa mwenyetatizo kuanzia mwaka mmoja hadi miaka kumi, mgonjwa atapaswa kutumia dawa kwa wiki mbili tu.
Usipoteze muda kwenda hospitalini maana dawa za hospital huwa zinatuliza tu na vidonda hubaki pale pale.
Hivyo basi, wahi Dawa inapatikana kwa bei nafuu sana, Shiling elf 20 kwa siku ya kwanza na elf 30 baada ya kupona ugonjwa huo
Aidha dawa hiyo inaweza safirishwa kwenda mikoa yote nchini huku bei ikiwa tofauti kutokana na umbali.
Wasiliana nami kwa number 0762895614 au 0782444579 kwa njia ya watsap
NB, matibabu ni kuanzia siku saba hadi kumi nanne tu.
Jamani Jane wangu umefufuka?What is the difference in action between a Proton Pump Inhibitor eg Omeprazole and an H2 receptor blocker eg Ranitidine
Mzizi mkavu niuzie hvyo vitabu, au nitavipata maeneo gani!Ndugu Che Kalizozele hiyo Dawa niliyosema Ya kutibu Mgonjwa Wa Vidonda Vya Tumbo nimeipata katika vitabu vya zamani sana vya Uganga wa Kienyeji vya Mwaka 1200 na Huo Utaalamu wa Kutumia Mkojo Kwenye Hospitali hawajuwi hata Ma Proffeser hawaoni ndani usione kuwa natani hiyo ni kweli na wengi waliojaribu wamepona.
Hakuna Dawa Ya kutibu Vidonda vya Tumbo yaani kwa lugha ya kigeni ni (Ulser) hakuna Hospitali ipo ya kutuliza tu sio kutibu Kunguru Mweupe kuna Maradhi ambayo hayawezi kutibika Hospitalini lakini kwa Wataalamu wa Kienyeji wanaweza kutibu kama Ugonjwa wa Pumu ugonjwa wa kisukari, Ugonjwa wa Kifafa, Ugonjwa wa Wendawazimu Kupooza na Ugonjwa wa Saratani (Cancer) na Ugonjwa Hepatitis B Virus.
Mpaka sasa hakuna Dawa za kutibu hayo maradhi ila zipo za kutuliza sio kuyamaliza Maradhi kinachotakiwa kwa Mgonjwa ni kujaribu kutumia Dawa ili kuona kama itaweza kumsaidia sio kupinga jamani Wenzangu tunajaribu kuelimishana sina kushindana asanteni sana.
Habari, utahangaika Sana na dawa za Hospital, nakushauri tumia Maji ya kuoshea mchele yaliyo Safi, kunywa mara 2 Kwa simu. Harafu nenda kanisani kamshukuru Mungu. Nimekusaidia bure sihitaji hata Mia yako, nawe ukipona wasaidie wengine bure.Habari dr. Polee na majukumu ya kazi yako! Mi n kijana mwenye umri below 30, ni miez miwili nasumbuliwa na vidonda vya tumbo na nimeenda kama hosptl kama mbili iv lakini nkitumia doz nakuwa afazar kama wk iv tena unakuta najickia maumivu ka moto unawaka tumboni apa maeneo ya chini ya chembe ya moyo so naitaji ushaur wako ni dawa gani ntumie ili niwe salama,ingawa masharti yote ya vyakula walivonambia nisile nimetii lakini bdo tatzo lipopalepale?
Sorry ni Kwa siku, some typing errors.Habari, utahangaika Sana na dawa za Hospital, nakushauri tumia Maji ya kuoshea mchele yaliyo Safi, kunywa mara 2 Kwa simu. Harafu nenda kanisani kamshukuru Mungu. Nimekusaidia bure sihitaji hata Mia yako, nawe ukipona wasaidie wengine bure.
Tumshukuru Mungu pamojaAsnte kaka ujamaajulius munguakubariki