Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Yap ngoja niianze doz iyo jioni, ko ni kiasi gani unatakiwa unywe?
 
Habari, utahangaika Sana na dawa za Hospital, nakushauri tumia Maji ya kuoshea mchele yaliyo Safi, kunywa mara 2 Kwa simu. Harafu nenda kanisani kamshukuru Mungu. Nimekusaidia bure sihitaji hata Mia yako, nawe ukipona wasaidie wengine bure.
khee hata hajapona umeanza kumwambia aende kanisani kwani umejuaje km ni mkristu
 
Habari dr. Polee na majukumu ya kazi yako! Mi n kijana mwenye umri below 30, ni miez miwili nasumbuliwa na vidonda vya tumbo na nimeenda kama hosptl kama mbili iv lakini nkitumia doz nakuwa afazar kama wk iv tena unakuta najickia maumivu ka moto unawaka tumboni apa maeneo ya chini ya chembe ya moyo so naitaji ushaur wako ni dawa gani ntumie ili niwe salama,ingawa masharti yote ya vyakula walivonambia nisile nimetii lakini bdo tatzo lipopalepale?
unataka kupona, nitafute! hata maharage utakula sana na utapona sana!
 
Habari dr. Polee na majukumu ya kazi yako! Mi n kijana mwenye umri below 30, ni miez miwili nasumbuliwa na vidonda vya tumbo na nimeenda kama hosptl kama mbili iv lakini nkitumia doz nakuwa afazar kama wk iv tena unakuta najickia maumivu ka moto unawaka tumboni apa maeneo ya chini ya chembe ya moyo so naitaji ushaur wako ni dawa gani ntumie ili niwe salama,ingawa masharti yote ya vyakula walivonambia nisile nimetii lakini bdo tatzo lipopalepale?
kuna formula ya mimea, mimi ndio ninae jua kutengeneza@! kama unaitaji niambie! nikutengenezee siku ya kwanza!
 
Hata msikitini pia amshukuru Mungu, Mungu wetu ni mmoja Kwa wanadamu wote ubaguzi ni ujinga wetu Tu wanadamu, ndio maana nasaidia bila kujali dini yako.
ahaa oky mi nina dalili zote za vidonda infact nipo kwenye dozi fulani hivi ya kurejesha mfumo wangu wa vimengenyo ukae sawa nikimaliza ntacheki kama nina vidonda halafu nitanza kutumia hii dawa yako nitibike
 
Kama urefu na kilo vinaendana, hapo utakuwa na vidonda kweli. Ila kama sivyo, nijibu nikueleze tatizo nini.
Nina kilo 54 na urefu 167 ... Nina vidonda ama na mie ni tatizo ingine maana vikiamkaga natamani jichimbia kabisa
 
Habari, utahangaika Sana na dawa za Hospital, nakushauri tumia Maji ya kuoshea mchele yaliyo Safi, kunywa mara 2 Kwa simu. Harafu nenda kanisani kamshukuru Mungu. Nimekusaidia bure sihitaji hata Mia yako, nawe ukipona wasaidie wengine bure.
Unamaanisha au utani mkuu ?
 
ahaa oky mi nina dalili zote za vidonda infact nipo kwenye dozi fulani hivi ya kurejesha mfumo wangu wa vimengenyo ukae sawa nikimaliza ntacheki kama nina vidonda halafu nitanza kutumia hii dawa yako nitibike
Aya inabidi utupe mlejesho mapema
 
Back
Top Bottom