Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Pole mkuu mimi niliumwa vidonda ya tumbo zaidi ya miaka 10 lkn tangu 2007 hadi sasa 2017 nimepona nakula kila kitu chenye gas n.k. Vidonda vya tumbo ni ugonjwa ambao ni rahisi kupona punde unapotumia dawa na unapofuata mashart. Nenda Hospital yeyote kapige X ray ili ujue aina gani ya vidonda vyako ambayo vipo. Kuna xray OGD/ Endoscope hii ni Xray unaingizwa mpira tumboni ili iweze kuona wapi vidonda vipo au kuna Xray ingine inaitwa Barium Meal hii pia itagundua wapi vidonda vipo ni xray ambayo unapigwa ukiwa uchi.
Vijijidudu vya vidonda vya tumbo vinaitwa pylori hawa wadudu wanashambulia tumbo, ndio maana unapata maumivu makubwaa sana hasa vidonda vikiwa ktk utumbo wa dudenum.
Dalili:
. Choo kikubwa kinakuwa kama cha mbuzi
. Unaweza kaa siku hata 5 bila kupata haja kubwa.
. Kuwa na hasira, kusikia kiungulia mara kwa mara
. Kusikia maumivu chini ya chembe
Dawa:
Emaprazole au Lamsoorazole au Gastrocid ya maji au Metronidazole.
KAMA UPO VIZURI KIFEDHA.
NUNUA dawa inayoitwa HELIGO KIT hii dawa ni nomaa inauwa wale wadudu wa pylori.
Masharti yake:
. Acha kukaa na mawazo
. Acha kukaa na hasira
. Acha kabisa sex kwa miezi 3 hadi 5
. Acha kula vyakula vyenye asili ya gas, mafuta
. Acha kula nyama kavu kama samaki kukaanga, chipsi
. Baadhi ya Dawa haziruhusuwi kama Panadol.
. Acha kula mboga za kisamvu, majani kunde, majani maharage nk
. Acha soda, pombe, embe, nanasi wala juice.
Ukifuata MASHARTI VIDONDA VYA TUMBO UNAPONA.
"NITAFUTE NIKUSHAURI NISHAKUWA MUHANGA MIMI SAIV KILA KITU NAKULA"
 
Asante mkuu! Ngoja nkaitafte hiyo heligo kit
 
Habari dr. Polee na majukumu ya kazi yako! Mi n kijana mwenye umri below 30, ni miez miwili nasumbuliwa na vidonda vya tumbo na nimeenda kama hosptl kama mbili iv lakini nkitumia doz nakuwa afazar kama wk iv tena unakuta najickia maumivu ka moto unawaka tumboni apa maeneo ya chini ya chembe ya moyo so naitaji ushaur wako ni dawa gani ntumie ili niwe salama,ingawa masharti yote ya vyakula walivonambia nisile nimetii lakini bdo tatzo lipopalepale?

Pole sana !! But:-
- Hujasema ni aina gani ya dawa umetumia kwa ajili ya tatizo lako.
- Je ilifanyiwa kipimo cha HELICOBACTER PYLORI (Hii ni aina ya Bacteria ambayo ndio visababishi vikubwa vya tatizo la vidonda vya tumbo/Ulcers
- Lakini pia unaweza kuwa na tatizo la IBS (Irritable Bowel Syndrome) ambayo hupelekea kujaa kwa gesi kwenye mfumo wa chakula hivyo kusababisha maumivu kama mtu mwenye tatizo la ulcers.
- Pia unaweza kuwa na tatizo la mwili kutengezeza Acid/Hydrochloric acid kupita kiasi (Excessive acid production) hivyo kupelekea maumivu kwenye mfumo wa chakula.

- Hivyo matokeo chanya ya utatuzi wa tatizo ulilonalo yatategemea uchunguzi wa kina/fasaha ili kujua chanzo (Mara nyingine kumekuwa na utoaji wa dawa bila kufanya vipimo vya uhakika/confirmatory tests hata pale vinapowezekana kufanyika) na hili linaweza pelekea mtu kuhangaikia tiba kwa muda mrefu kwa sababu tu baadhi ya vipimo vilikuwa ignonered (kwa sababu mbalimbali).
 
Pole je hizo hospitali walikufanyia vipimo?
 
Yap! Kwa mara ya kwanz nilienda pale Bochi hsptl Mbezi kwa msuguli Dar, nilichukuliwa damu tu na majbu ya maabara wakasem una vidonda vy tumbo na nkapewa dawa na nafuu yake ilikuwa n wk tu baadae nkasikia maumiv tna. Baada ya hapo nkawa nasafiri kuelekea njombe nkapitia hosptali ya Ikonda hsptl na pale nilivo mwona dokt akasema kapime choo na damu ndipo walipo nipa majb kuw nna vidonda vya tumbo wakanipa dawa ndo zimeisha ka wk iv lkn maumiv bdo nayapata
 
Pole sana !! But:-
- Hujasema ni aina gani ya dawa umetumia kwa ajili ya tatizo lako.
- Je ilifanyiwa kipimo cha HELICOBACTER PYLORI (Hii ni aina ya Bacteria ambayo ndio visababishi vikubwa vya tatizo la vidonda vya tumbo/Ulcers
- Lakini pia unaweza kuwa na tatizo la IBS (Irritable Bowel Syndrome) ambayo hupelekea kujaa kwa gesi kwenye mfumo wa chakula hivyo kusababisha maumivu kama mtu mwenye tatizo la ulcers.
- Pia unaweza kuwa na tatizo la mwili kutengezeza Acid/Hydrochloric acid kupita kiasi (Excessive acid production) hivyo kupelekea maumivu kwenye mfumo wa chakula.

- Hivyo matokeo chanya ya utatuzi wa tatizo ulilonalo yatategemea uchunguzi wa kina/fasaha ili kujua chanzo (Mara nyingine kumekuwa na utoaji wa dawa bila kufanya vipimo vya uhakika/confirmatory tests hata pale vinapowezekana kufanyika) na hili linaweza pelekea mtu kuhangaikia tiba kwa muda mrefu kwa sababu tu baadhi ya vipimo vilikuwa ignonered (kwa sababu mbalimbali).
Asante mkuu, Dawa nilizotumia ni hizi kwa mara ya mwisho
.lansoprazole
.metronidazole
.amoxallium
.fragel
Zinasomeka ivo si mnajua mwandko wa kidaktari tena cjui ka nimekosea nilekebishe
 
Hizo ni dawa mchanganyiko kwa ajili ya eradicati

Ok !! Hizo ni dawa mchanganyiko kwa ajili ya eradication of/kupambana na HELOCOBACTER PYLORI kama nilivyoeleza hapo juu na hutumiwa kwa kuanzia muda wa siku 7 !
(BUT) je walifanya kipimo cha damu kujirizisha uwepo wa hao Bacteria !? Na kama matokeo yalikuwa positive ulimeza dozi ukamaliza !!??
 
Eeh doz walinipa ya wik mbili na kipimo cha damu walichukua mkuu
 
Ni kula vizuri na kwa wakati vyakula visivyozalisha nyongo na kunywa maji ya kutosha
 
Nakuja kwenu wanajamvi kuomba msaada wa mawazo nifanyeje niweze kuondokana na tatizo hili sugu na lililonitesa kwa miaka 22 sasa.

Tatizo hili liligunduliwa kwa mara ya kwanza mwaka 1995 hospitalini na nikaanza kutumia dawa na kufuata masharti mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuepuka aina fulani za vyakula na madawa na pia kubadili lifestyle.

Nikiri kuwa baada ya muda fulani baada ya kuanza matibabu nilipata nafuu kubwa hadi husahau maumivu ya tatizo hili lakini nilijitahidi kubaki katika masharti yale.

Baadaye tatizo lilianza upya na nikaanza kutumia dawa zile zile nilizotumia awali lakini sikupata nafuu. Nimebadilisha dawa mbalimbali lakini bado tatizo limeng'ang'ania. Baadhi ya dawa ninazokumbuka nilizotumia mpaka sasa ni: CIMETIDINE, RANITIDINE, OMEPRAZOLE, PANTOPRAZOLE, LANSOPRAZOLE na Antiacids za maji kama MILK OF MAGNESIA na RELCER GEL.

Nimewahi pia kutumia dawa za kienyeji kadhaa bila mafanikio. Mfano: Unga wa mbegu ya parachichi, mafuta ya ubuyu, asali mbichi na mdalasini, kuchemsha mmea wa mbigili n.k.

Nimeshawahi pia kupima H.PYLORI TEST mara 2. Mara moja nilikutwa Positive nikapewa HELIGO KIT dozi ya wiki 2 na nikaendelea na lansoprazole kwa wiki 2 zaidi. Nilipopima tena H.PYLORI ikasoma Negative lakini bado nikindelea kuumwa.

Mwaka jana nilifanyiwa kipimo cha OESOPHAGOGASTRODUODENOSCOPY hospitali moja ya rufaa na ripoti ya Daktari ilisomeka: "Multiple wounds found around the duodenum". Nilipewa dawa lakini bado sikuona nafuu kubwa.

Hivi leo nina siku ya 6 natumia TINIDAZOLE, LANSOPRAZOLE NA CLARITHRIMYCIN kwa pamoja na bado sijisikii nafuu yoyote. Maumivu ni makali, tumbo linauma na kutonesha (painful & tender), nikila chakula kidogo tu nasikia tumbo limejaa. Siwezi kulalia ubavu wa kulia tena sababu ya maumivu.

Usiku wa leo tumbo liliniuma sana mpaka jasho likanitoka japo kulikuwa na baridi.

Kwa ufupi nateseka na nimekuja kwenu kama kuna mhanga kama mimi aliyewahi kuugua tatizo hili na kupona au madaktari mliomo humu jamvini mnisaidie jinsi ya kufanya.

Natanguliza shukurani nikiomba radhi pia kwa post ndefu. Nimelazimika kuandika hivi ili tatizo langu lieleweke vema.
ASANTENI!

Mwanajamvi mwenzenu anayeteseka.
 
Utakuwa na frustration. Tafuta njia ya kukuwezesha kuepuka mawazo yanayokupa stress au kukuumiza.
 
Pôle sana, natumai kuwa wenye uelewa wa mambo ya afya watakusaidia
 
Kwa ufupi nateseka jamani na nimekuja kwenu kama kuna mhanga kama mimi aliyewahi kuugua tatizo hili na kupona au madaktari mliomo humu jamvini mnisaidie jinsi ya kufanya.

Natanguliza shukurani nikiomba radhi pia kwa post ndefu. Nimelazimika kuandika hivi ili tatizo langu lieleweke vema.
ASANTENI!

Mwanajamvi mwenzenu anayeteseka.
 
Pole sana ndugu yangu kwa matatizo unayopata.

Mimi sijawai kuugua ugonjwa wa vidonda vua tumbo ila yupo kaka yangu vilikuwa vinamsunbua sana zaidi ya miaka mitatu. Alijaribu kwenda hospital mbalimbali lakini bado shida ipo, yaana ilifika hatua mpaka kazi kwake anadondoka na tumbo linamsumbua na watu wanamuokota na kumpeleka hospital kwa ajili ya drip na dawa zingine ili kiweza kuzuia hayo maumivu makali ya tumbo. Kuna muda tulikuwa tunahisi huyu ndugu yetu wakati wowote ule tunampoteza, kwa kifupi alikuwa anadonda kwa maumivu makali hata mara mbili kwa mwezi.

Cha ajabu kuna siku kama masihara tu, aliambiwa kuna kijana anauwezo wakutibu vidonda vya tumbo lakini siyo kwa dawa za hospital ni kwa dawa za kiasili. Ndugu alijaribu kwenda kwa huyo mtu, na kweli matatibu hayakuzidi hata laki 1, mpaka leo ndugu yangu naweza kusema amepona kabisa vidonda vya tumbo. Mpaka leo watu mbalimbali waniambia kuhusu tumbo basi uwa najaribu kuwaelekeza kwa huyo mtu.

Kama upo teyari, jaribu kuniPM na nitaweza kukutumia namba za huyo mtu kwa ajili ya mawasiliano zaidi.

Jamaa yeye atakwambia umpelekee x-ray image, ili aweze kuona jinsi ulivyohasirika na kutengeneza dawa stahili.
 
Wakati mwingine kutumia dawa sana unaliongeza tatizo kuliko kulipunguza!kweli maumivu ni makali sana ya tumbo hadi unahisi kufakufa!hata ukiskia chochote dawa utakitaka ili upate nafuu!
Kwa ushauri wangu kwanza acha kutumia vitu vyenye acidity hasa nyanya na spices.tumia matunda na mboga za majani hasa cabbage.kuhusu dawa usitumie sana za hospitali au zile za wanaojitangaza kutibu ulcers.jaribu kutumia dawa za asili
 
Nakuja kwenu wanajamvi kuomba msaada wa mawazo nifanyeje niweze kuondokana na tatizo hili sugu na lililonitesa kwa miaka 22 sasa.

Tatizo hili liligunduliwa kwa mara ya kwanza mwaka 1995 hospitalini na nikaanza kutumia dawa na kufuata masharti mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuepuka aina fulani za vyakula na madawa na pia kubadili lifestyle.

Nikiri kuwa baada ya muda fulani baada ya kuanza matibabu nilipata nafuu kubwa hadi husahau maumivu ya tatizo hili lakini nilijitahidi kubaki katika masharti yale.

Baadaye tatizo lilianza upya na nikaanza kutumia dawa zile zile nilizotumia awali lakini sikupata nafuu. Nimebadilisha dawa mbalimbali lakini bado tatizo limeng'ang'ania. Baadhi ya dawa ninazokumbuka nilizotumia mpaka sasa ni: CIMETIDINE, RANITIDINE, OMEPRAZOLE, PANTOPRAZOLE, LANSOPRAZOLE na Antiacids za maji kama MILK OF MAGNESIA na RELCER GEL.

Nimewahi pia kutumia dawa za kienyeji kadhaa bila mafanikio. Mfano: Unga wa mbegu ya parachichi, mafuta ya ubuyu, asali mbichi na mdalasini, kuchemsha mmea wa mbigili n.k.

Nimeshawahi pia kupima H.PYLORI TEST mara 2. Mara moja nilikutwa Positive nikapewa HELIGO KIT dozi ya wiki 2 na nikaendelea na lansoprazole kwa wiki 2 zaidi. Nilipopima tena H.PYLORI ikasoma Negative lakini bado nikindelea kuumwa.

Mwaka jana nilifanyiwa kipimo cha OESOPHAGOGASTRODUODENOSCOPY hospitali moja ya rufaa na ripoti ya Daktari ilisomeka: "Multiple wounds found around the duodenum". Nilipewa dawa lakini bado sikuona nafuu kubwa.

Hivi leo nina siku ya 6 natumia TINIDAZOLE, LANSOPRAZOLE NA CLARITHRIMYCIN kwa pamoja na bado sijisikii nafuu yoyote. Maumivu ni makali, tumbo linauma na kutonesha (painful & tender), nikila chakula kidogo tu nasikia tumbo limejaa. Siwezi kulalia ubavu wa kulia tena sababu ya maumivu.

Usiku wa leo tumbo liliniuma sana mpaka jasho likanitoka japo kulikuwa na baridi.

Kwa ufupi nateseka na nimekuja kwenu kama kuna mhanga kama mimi aliyewahi kuugua tatizo hili na kupona au madaktari mliomo humu jamvini mnisaidie jinsi ya kufanya.

Natanguliza shukurani nikiomba radhi pia kwa post ndefu. Nimelazimika kuandika hivi ili tatizo langu lieleweke vema.
ASANTENI!

Mwanajamvi mwenzenu anayeteseka.
thats very serious case Dx Chronic pepetic ulcer disease (PUD)!!
 
Ili nikuelekeze dawa, yalikuanza ukiwa na umri gani?
 
Back
Top Bottom